nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Nimependa conclusion yako. Na nimekubali mawazo yako. To quote you" why should we take girls to school if there is someone who will provide for her?? Why should a married woman work while the husband can provide? Why should you separate your income while you are husband and wife?" and to add "Why are we getting married while we have selfish behaviors????"Nimependa sana hayo maswali
Ngoja nikonkludi hii sredi ya Mjukuu mtiifu kama ifuatavyo:
A husband should not provide for his wife..... Married couples should provide for themselves......... Hii dhana ya "kuwa mwili mmoja" isiwe kwenye viapo tu bali pia katika utekelezaji.....
Yes: Boyfriends should provide for their girlfriends....PERIOD!
If it is a must for a man to provide for his wife then:
1. Hakuna haja ya kupeleka watoto wa kike shule........ si ataolewa na mwanaume atakaye provide kwake
2. Kina mama hakuna kufanya kazi za kuwaingizia vipato...... wakae nyumbani kutuzalia na kulea watoto wakati sie twahangaikia kuwaprovaidia kila kitu
3. Ile mambo yao ya Beijing ipigwe vita na marufuku. Inakuwaje mnataka usawa wa kila kitu lakini kwenye familia "baba" ndo awe mchunikaji mkuu?
Nimejifunza mengi kwenye hii sredi: Napaswa kumshukuru Mungu kwa kuniozesha malaika. Haka kabibi kenu tunashea 50 fifty. Kipato changu na chake viko hadharani. Anakamata ATM yangu nami nakamata ya kwake. Nadraw kwenye akaunti yake kama yeye anavyofanya kwenye yangu... Tunatumia tutakavyo bila kuhojiana maswali....Haki ya Mungu hakuna raha kama hii......
Leo nikirudi nyumbani, ntampigia makofi matatu ya upendo.
Ngoja nikajipumzishe kitandani.