Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,350
My dia, kuhusu hapo kwenye tendo la ndoa pia kuna wanaume wanastahili lawama (kwa hili siongelei uzoefu...lol.....ni rafiki yangu aliyekwenye ndoa alinisimulia). Yeye mume wake anafanya kazi mkoani, anaweza akapitisha miezi sita huko na wala asimtumie mkewe text ya nimekumiss. Anasema akitaka mazungumzo na mumewe yawe marefu kidogo ni lazima wazungumzie miradi waliyonayo na jinsi ya kuiendeleza. Akisema achomeke hapo neno la mapenzi mumewe huwa mkali na kumshutumu kuwa yeye (mke) anawaza ngono tu muda wote. Na akibahatika kurudi labda kwa wiki anaweza kukaa ata siku 3 hajamgusa mke wake.
Wewe unadhani kwa case kama hii nani wakulaumiwa?
kwani huyo mama yeye hawezi kujitahidi kila wkend kwenda mkoa kumfata hubby?.....hapo blue y huyo mama yeye asubirie tu kuguswa, yeye hawezi kugusa?