mh! ati?
Hivyo hivyo ulivyoona, kuwa migomo ni miongoni mwa harakati za mwisho kabisa katika kudai kudai haki pale njia za awali zinapokuwa zimeshindikana. Sasa inabidi uangalie kama njia za awali zilikuwa zimeshindika kwa hao madaktari wako.
mh! ati?
Lakini kwani kwa mgomo huu wa pili wanapoteza nini kama tayari walishapoteza madaraka yao.
kwa mtizamo wangu naona walioko madarakani ndio waliotenda wakiogopa kupoteza madaraka.
Eh mungu mrudishie afya yake huyu kijana..
Na laana iwaendee wale wote waliohusika kupanga na kutenda hicho kitendo!
Mkuu umeongea ukweli mtupu,
kuna vibaraka wanajaribu kupotosha watu kwa kuitetea serikali uaji ya wanyonge,
sasa kila mtu anaenda anaelewa kwamba serikali yetu ni adui yetu.
Jamani naona watu mmecharge kama mafahali wawili ndani ya zizi! Ni vizuri kuwa na tahadhari kumhusisha Rais na kutekwa kwa Dr. Yes uongozi wake una matatizo lakini kumhusisha na hili jambo tunakwenda mbali. Kikwete si mtu wa visasi vya namna hii. Ana njia nyingi tu kama angetaka za kumdhibiti Dr. na asingekuwa na haja ya kutumia njia ya aibu namna ile.
Mtu anayesababisha shida ya madaktari ni waziri mkuu. Ameshidwa kumshauri rais ipasavyo kwenye jambo hili.
Usiseme hivyo mana waliofanya ni wanadamu na wewe ni mwanadamu pia na katika kutaka kuua sio lazima mtu afe. Kwani hajawahi kusikia mtu wamepanga kumuua na hata baadaye daktari ana-certify death lakini mwisho wa siku anakuja kuzinduka au saa ingine anazindukia chumba cha kuhifadhia maiti. Yote ya Mungu kuna ushuhuda pia katika watu wake wa Tanzania katika hii serikali.If they wanted him DEAD, he'd be dead by now, na mngekuwa mnaongea mambo mengine kabisa.......probably, they still need him for something..........the big question is wat is it??
and kimtazamo wangu, 1st, wat has bin done to him isnt fair, Unless, he(ulimboka) framed it....najua kwa hili, wengi mtanilaumu, but mkisoma stories nyingi kama hizi, mtaona, ulimboka hatokuwa wa kwanza, kufake something like this, but FOR GOOD REASONS..............cause, seriously, kama wangetaka afe, angekufa longtym........
2dnly, killing one person for the benefit of two or more people, i find it reasonable................
Hebu jiulize ni kiasi gani hutumika kwa ubadhirifu tz.juzi tu umesikia bilioni zaidi ya 300 uswisi.tatizo sio hela ni usimamizi mbovu na matumizi yasiyofaa.Na si kweli kwamba madai yao ni mshahara,waulize watakuambia mshahara ni dogo tu hata kwa uzalendo wangeweza kusamehe kama serikali ingekuwa sikivu kama inavyoijisifu.
Kutoka kwenye pesa zinazoibiwa na mafisadi wa ccm kama dola bil 300 zilizoko uswiss.
tusisukumwe na hisia juu ya kipigo cha dr.ulimboka and eventually reaching to a sanctity statement that the government has afrontly commited a crime to dr.ulimboka without making critical analyisis about event.
Yawezekana kabisa serikali kushiriki katika tukio hilo haramu ili kuzima nguvu ya kiongozi huyo katika kuongoza migomo ya madaktari hao.lakin swali la kujiuliza ni kwamba ni serikali gani iso na akili ikafanya uovu huo dhahiri? Kwani serikali imeashiwa mbinu za kum abduct mtu? Evi mara ngapi tumesikia fulani amepotea,amekfa katika mazingira tatanishi?
Pia,yawezekana watu wasioitakia serikali kuhusika tukio ili kudhihirisha udhaufu wake nahivyo kujiimarisha kisiasa ama kikanda na hatimaye kuchukuwa nchi 2015 kama inavyondotewa.kwa mfano ikumbukwe ter.12,january,2011 kipo chama kilisema wazi kuwa,kitahakikish kinatumia kila aina yavitimbi ili kuhakikisha nchi haitawaliki.je chama hicho hakiwezi kuwaziwa kwa tukio hili kama ni mbinu kutekeleza mkakati?
Aidha,migomo ya madaktari ilisababisha baadhi ya mawaziri kutupwa nje pale raisi alipotengua baraza na kuunda lingine.je hamuoni ka hawa wanaweza kufanya hivyo kwa aidha kulipiza kisasi au kumkomoa rais kwa kuwatupa nje?
Vilevile ifahamike kuwa,migomo ya madakatari inasababisha vifo vya watu waso na hatia.je hamuwezi kuona kuwa hizi ni hasira za wananchi wanaopoteza ndugu zao kwa migomo ya madaktari?
Lakini pia,juzi tu tumeshuhudia askofu mmoja akitamka kuwa,ccm ijiandae kuaga ikulu mwaka 2015.je hamuwezi kuona kuwa,haya ni maandalizi ya kufikia lengo hilo la askofu hoyo?
Mwisho napenda kusema kuwa, tusiharakie kuishtumu serikali kuhusika na tukio hilo bali tuachie tume kufanya uchunguzi kwani mchawi atapatikana tu.
Naomba kuwasilisha wanajamii