A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

Hata mipango ya makachero waliobobea kam MOSAD, BOSS, CIA KGB na makundi mengi ya kigaidi kama MAFIA YAKUZA na mengineyo huweza kupanga mipango ya kuua mtu kisha kwa sababu zisizo julikana ikabumburuka.

I always believe there is higher invisible force which sometimes intervene so as to put shame on evil power

The government of CCM has something to do with this, particulary State House and Prime Ministers office. When this suckers finished their job I msure they called their boss to inform that Dr Ulimboka wass dead. Not knowing that the guy is a real Mnyambala with a Cat heart from a Country called MBEYA.

UWT are not smart the way you think they are,wengi siku hizi wanaingia huko kwa kupeana kazi kichupi chupi.
Mchunga ng'ombe wako au dereva wako akiwa pewa recommendation nzuri na mama mwenye nyumba kumuenzi unampa kazi usalama wa taifa.

I know a lot of vilaza who are in UWT and they always feel luck to be there
UWT themselves are not killers and they dont have any original incentive to kill apart from promise of money and ranks from their masters who happen to be CCM government official, who are are chronic killers.

CCM kill each other within CCM mostly for the reasons of Greed and Power, why they should have mercy with a regular guy like Dr Ulimboka who have been depriving them of their sleep for a long time now??

I was a grown up when UWT Killed Commandor Tamimu simply because he was throwing soda bottles from the pickup he was trying to use as an escape car. Professor Shivji prooved them big iddiots in the court of law. The whole mission was well planned by UWT yet it was very sloppy and at the end it was a shame.

CCM have both hands and legs in this, to prove other wise they have to kill the UWT guys who percitipated in Dr Ulimboka assination attempt.

Mazingira na mpango wa tukio haukutekelezwa kitaalamu kwa kiwango cha wale wenye kazi hiyo unaofikiria wewe. Lazima tutizame pande zote kwani mpango na njama yenyewe haikufanywa kitaalamu. Tunakumbuka wengi waliokufa katika mazingira tata mfano Kolimba, Katabalo nk. Inaonekana waliofanya tukio hili hawana uzoefu unaomaanisha wewe.
 
Kwa mtazamo huo basi, washukiwa wa kwanza unafikiri ni kina nani? Kinachoniumiza ni kushindwa kwa serikali kumaliza matatizo ya madaktari kwa diplomasia.Badala yake kufanya kitendo kama hicho baada ya kutishiana nani ndiye mshukiwa mkuu?
Nadhani, tatizo ninaloliona mimi ni kuwa, Jamaa wanaongozwa na inteligence information zaidi, na kila wanapo-atempt kupata information from unofficial sources, wamekuwa wakilaumiwa kuwa wanafanyia kazi tetesi na uzushi. So what does the inteligence briefing contains? Na kwa JK naona ni mtu ambaye yuko so sensitive (si unafiki hasa) kwakuwa mwanzoni aliingizwa mkenge mara nyingi sana, so hutumia muda wa kutosha kabla ya kutoa conclussion, ndiyo staili yake ya utawala. Kwa Pinda yeye ni ""Liwalo na Liwe" na ni mtiifu kiasi kwamba akiambiwa kula M... anaweza akala. Haya ndiyo ma-strengths na Ma-weaknesses. So Wote hawa sio wabaya katika swala la Utawala bora, ila ni very vulnerable kwa watu ambao wanatumia mbinu ya uadui katika politics. Tatizo na faida ya JK ni kwamba haijalishi kiongozi wake alisema nini in the public au alitoa msimamo gani, akija yeye atasema anachojua yeye, hata kama ni against kile cha kiongozi mwenzake (tabia ambayo ameiambukiza hata kwa chama chake, no such a thing as common positon). Usishangae akaibuka in the last minutes kutuliza mgomo huu.
 
Nijuavyo mimi katika hali ile regardless who it was Kituo cha Tegeta as a matter of procedure walitakiwa wampeleke hospitali. Cha kushangaza tunaona Mwanaharakati wa haki za binadamu ndo aliyekwenda kumpeleka hospitali

Pia kuhusika kwa mtu toka ikulu

Pia state propaganda machinery TV ya taifa haikucover hiyo story

Pia kauli ya Pinda before and after the incident
Hivi nyinyi mnazungumzia vituo vya polisi vya TANZANIA ambavyo vingi havina hata magari ya kuwapeleka waliojeruhiwa hospitalini haraka hiyo siyo kwa Dr tu hata Raia wote mara nyingi wanakumbana na tatizo hilo wanapopelekwa vituoni.
 
No doubt, moja kwa moja serikali inahusika, waliotumwa "walishindwa kutimiza wajibu" wao ipasavyo, si ajabu wakauawa wao kwa "uzembe" wa kuiaibisha serikali kwa wananchi na kimataifa. Kauli ya Pinda imetufumbua macho!

Kinachofuatia ni usanii wa Serikali lakini watajitahidi lengo la kumuondolea uhai Dr. Ulimboka litimie.

Wamethubutu, wameshindwa, sasa hawasongi mbele!-Kimenuka!
 
Awali ya yote yatupasa kumpa pole na kumuombea apone haraka dakatari wetu huyu bwana Ulimboka na walaaniwe kwa nguvu zote wale wote waliohusika kwa namna moja ama nyingine.

Wengi wetu kwa asilimia kubwa tumekuwa na imani kuwa, utekelezaji wa jambo hilo ni njama au mkakati wa serikali kupunguza kasi ya harakati za madaktari katika kudai haki zao.

Tunapoihusisha moja kwa moja serikali kwa upande mmoja wa mbele, hebu tugeuke nyuma na kuangalia upande wa pili.

Bila shaka Dk Ulimboka alikuwa na maadui wa hatari wenye chuki binafsi naye hasa kipindi cha vugu vugu hili la migomo ya madaktari. Kuna watu waliopoteza madaraka yao matamu kutokana na kadhia hii, upo uwezekano wa kupanga njama za kulipiza kisasi.

Kutumika polisi si kitu mbele ya pesa. Ukiwa na fungu la kutosha ukitaka kuwatumia polisi njaa kwa ajili ya uhalifu unawatumia bila shida. Ikiwa wapo ambao hufanya ujambazi na kupora mali za watu, itakuwa hawa wa kukodiwa! Tugawanye fikra na mitazamo yetu, wakati tunaitupia jicho la mashaka serikali.

Tuangalie na upande wa pili, wale waliomwaga unga kutokana na harakati hizi tunawachukuliaje? Hapa mhalifu halisi anaweza kujificha chini ya kivuli cha serikali.

Mwisho napenda niwapongeza madaktari wote waliotoa kichapo kwa mtu anayedhaniwa kuwa alikuwa mmoja wa wateka nyara.

Mungu msaidie Dk Ulimboka apone haraka ili aendelee na harakati zake.

Awali ya yote namwomba Mungu amsaidie Daktari apone haraka. I like the top analysis , though we should not completely rule out other posibilities. Tusubiri hizo ripori na zikupikwa tutajua.
 
Ukiona hakuna tamko lolote la CCM wala Bakwata kulaani unyama huu, wala huwezi kuangaika kujuwa kwamba hii ni "Inside Job".

Sishangai ikawa ni inside Job, ila sishangai pia kuwa wataweza kuwa ni baadhi ya mtandao fulani na akina JK anaweza aihusike labda apewe taarifa za kijasusi ya nini kilichojiri, na ana option ya kuchukua hatua au kufukia taarifa chini ya kapert kutegemea na kama anaweza kumudu matokeo ya kudeal nalo. Maana akikurupuka inaweza kula kwake...
 
Nadhani, tatizo ninaloliona mimi ni kuwa, Jamaa wanaongozwa na inteligence information zaidi, na kila wanapo-atempt kupata information from unofficial sources, wamekuwa wakilaumiwa kuwa wanafanyia kazi tetesi na uzushi. So what does the inteligence briefing contains? Na kwa JK naona ni mtu ambaye yuko so sensitive (si unafiki hasa) kwakuwa mwanzoni aliingizwa mkenge mara nyingi sana, so hutumia muda wa kutosha kabla ya kutoa conclussion, ndiyo staili yake ya utawala. Kwa Pinda yeye ni ""Liwalo na Liwe" na ni mtiifu kiasi kwamba akiambiwa kula M... anaweza akala. Haya ndiyo ma-strengths na Ma-weaknesses. So Wote hawa sio wabaya katika swala la Utawala bora, ila ni very vulnerable kwa watu ambao wanatumia mbinu ya uadui katika politics. Tatizo na faida ya JK ni kwamba haijalishi kiongozi wake alisema nini in the public au alitoa msimamo gani, akija yeye atasema anachojua yeye, hata kama ni against kile cha kiongozi mwenzake (tabia ambayo ameiambukiza hata kwa chama chake, no such a thing as common positon). Usishangae akaibuka in the last minutes kutuliza mgomo huu.

Obvious this is one of many mistakes by intelligence. Sidhani kama wameshindwa kumaliza hili tatizo kama nia ya kufanya hivyo ingekuwepo. Hata hivyo system nzima ukusanyaji na utoaji wa habari sensitive kwenye nchi yetu ukoje? Mbona kama umefanana na mwanaume mrembo ambaye hana hata jino moja? System yetu ndio inayotuangusha...ingekuwa busara ikaangaliwa upya.
 
Mazingira na mpango wa tukio haukutekelezwa kitaalamu kwa kiwango cha wale wenye kazi hiyo unaofikiria wewe. Lazima tutizame pande zote kwani mpango na njama yenyewe haikufanywa kitaalamu. Tunakumbuka wengi waliokufa katika mazingira tata mfano Kolimba, Katabalo nk. Inaonekana waliofanya tukio hili hawana uzoefu unaomaanisha wewe.

Hawapo hao wataalamu ambao unategemea wangeifanya hiyo kazi kitaalamu unavyotegemea wewe. CCM na serikali yake walishachakachua UWT na kuweka ndugu zao vilaza wasioelewa chochote (DIV IV na 0). Hii ni pamoja na jeshi la polisi. Ukimsikia Kova akisema wameunda timu ya wataalamu, maana yake ni mkusanyiko wa vihiyo waliopewa nyota za vyeo bila elimu (Vyeti fake, na vile vya halali ni DIV IV na 0 za form IV na VI).

Ukitaka kucheka tafuta performance ya maafisa wote wa Jeshi la polisi na UWT kwa level ya form IV tu. Kama utapata DIV II utakuwa na bahati kubwa sana. Kwani unafikiri kwa nini wajanja hawaendi jela nchi hii?? Hakuna upelelezi wa kitaalamu na wala waendesha mastaka wazuri.
 
naandika haya kwa hasira na machozi yakinitoka kama kweli yupo mungu wa eliya mungu wa ibrahimu, isaka na yakobo hii serikali inatakiwa kung'oka madarakani kwa nguvu ya umma mapema iwezekanavyo haiwezekani kila sauti itakayonyanyuka kutetea wanyonge wao wanaizimisha. Kwa hili hatuwezi kulikubali hata kidogo. Watanzania kama mtalinyamazia hakika damu ya watu hawa itakuwa juu ya vichwa vyenu na uzao wenu. Yuko wapi captain kombe? Wapi horas kolimba? Sokoine na wengine?

Funny!
 
Awali ya yote yatupasa kumpa pole na kumuombea apone haraka dakatari wetu huyu bwana Ulimboka na walaaniwe kwa nguvu zote wale wote waliohusika kwa namna moja ama nyingine.

Wengi wetu kwa asilimia kubwa tumekuwa na imani kuwa, utekelezaji wa jambo hilo ni njama au mkakati wa serikali kupunguza kasi ya harakati za madaktari katika kudai haki zao.

Tunapoihusisha moja kwa moja serikali kwa upande mmoja wa mbele, hebu tugeuke nyuma na kuangalia upande wa pili.

Bila shaka Dk Ulimboka alikuwa na maadui wa hatari wenye chuki binafsi naye hasa kipindi cha vugu vugu hili la migomo ya madaktari. Kuna watu waliopoteza madaraka yao matamu kutokana na kadhia hii, upo uwezekano wa kupanga njama za kulipiza kisasi.

Kutumika polisi si kitu mbele ya pesa. Ukiwa na fungu la kutosha ukitaka kuwatumia polisi njaa kwa ajili ya uhalifu unawatumia bila shida. Ikiwa wapo ambao hufanya ujambazi na kupora mali za watu, itakuwa hawa wa kukodiwa! Tugawanye fikra na mitazamo yetu, wakati tunaitupia jicho la mashaka serikali.

Tuangalie na upande wa pili, wale waliomwaga unga kutokana na harakati hizi tunawachukuliaje? Hapa mhalifu halisi anaweza kujificha chini ya kivuli cha serikali.

Mwisho napenda niwapongeza madaktari wote waliotoa kichapo kwa mtu anayedhaniwa kuwa alikuwa mmoja wa wateka nyara.

Mungu msaidie Dk Ulimboka apone haraka ili aendelee na harakati zake.
acha uhuni, kwa hiyo hata wali polisi walioingia msikitini mwembechai inawezekana hawakupata ruhusa serikalini ni watu tu walikuwa wanawatumia?
uamsho walivyopigwa mabomu mpaka msikitini utakubaliana nami kuwa yawezekana na mtu mwenye pesa kawaagiza tu?
 
3. Je watakuwa ni baadhi ya wale waliothiriwa kwa njia moja au nyingine na migomo hii?

This is a real possibility. Mbona serikali haiwateki akina Mgaya, Mkoma, n.k.? Waathirika wanaweza kufanya lolote ..
 
Sote tunajua kilichofanyika kwa Dr ulimboka naamini walijiliziha amekufa maana wasingemuacha akiwa hai, kwakuwa Mungu kawaumbua tunaomba mlioko karibu naye mtujuze anahali gani. Pia mkiona inafaa wekeni namba ya M-pesa tumchangie akatibiwe mahali salama zaidi
 
Hayo yote myaonapo, changamkeni mkainue vichwa vyenu maana ukombozi wenu u karibu. Hii kauli aliitoa Bwana Yesu, bali leo naiandika ikimaanisha kuwa, Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa watateswa na kuumizwa pamoja na damu zao kumwagwa, na waonapo hali hiyo ya kuonewa, ndio wajue kuwa ukombozi wao umewadia. Ni vivyo kwa kila mlalahoi wa Tanzania, damu zinazomwagwa leo hii zinaashiria kabisa kuwa ukombozi umekaribia. Hakuna ukombozi usio na tone la damu, kama ambavyo tone la damu haliwezi kumwagika pasi na ukombozi.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.

Mkuu huu ni ukweli halisi.Be blessed"
 
No doubt, moja kwa moja serikali inahusika, waliotumwa "walishindwa kutimiza wajibu" wao ipasavyo, si ajabu wakauawa wao kwa "uzembe" wa kuiaibisha serikali kwa wananchi na kimataifa. Kauli ya Pinda imetufumbua macho!

Kinachofuatia ni usanii wa Serikali lakini watajitahidi lengo la kumuondolea uhai Dr. Ulimboka litimie.

Wamethubutu, wameshindwa, sasa hawasongi mbele!-Kimenuka!

Anko Sam, hako kaeneo kekundu hako ninakawekea msisitizo, usisahau Wizara hii ya Afya imeingia kasha miaka ya hivi karibuni kwa wafadhili wengi kujitoa, hali ni tete sana. Na sassa, mambo haya ya mgomo yanaweka chumvi kwenye kidonda maana bado kibichi. Pia kwa tabia ya serikali yetu inayoombaomba sana, hili laweza kuwa jambo ambalo they can sucrifice kurudisha credibility wanayoitaka. Ninachoogopa ni kwamba mpaka sassa viongozi wengi busara zao na hekima ziko likizo na wanauhofia saana mzimu wa CHADEMA, usishangae kitakachofuata.. CHADEMA keep a good distance from this issue. Let the public judge, you have enough political tools at hand (Binafsi ni mfuasi wa CCM)
 
Ndahani, hawsaaaa, ila kwa mchezo ninaouona, kunauwezekano watu wakaingia kwenye mtego sijui ni akina nani hasa watakaonasa, JK na Pinda wakienda vibaya imekula kwao, lazima swala la Uwajibikaji litawakumba... Sina uhakika kama Mh Pinda alivyoongea jana kwanye Bunge, kama tayari alikuwa ameshapata inteligence briefing ya kutosha ikihusisha swala la Ulimboka?? Na kama alikuwa anajua, ile kauli ni mafuta kwenye moto. Nawasihi wtumie na waonyeshe busara na hekima ya hali ya juu ndiyo silaha pekeee yakutatua matatizo yaliyopo sasa, haijalishi chanzo

Prof....Sijaelewa hapo kwenye Red unamaanisha nini..
Hatuna utamaduni wa kuwajibika...only very few.... record yangu ina majina machache sana....Ally Hassan Mwinyi, Augustine L. Mrema, Edward N.Lowassa na Peter Mavunde.....

May be kama unadhani hao kwenye Red nao wanaweza kuingia katika historia ya kuwajibika though for what.....Mbona yametokea mengi waliyopasa kuwajibika lakini wamekula jiwe...
 
Sijui kama unajua unaongelea usalama wa Tanzania,hawana ufahamu huo unaoufikiria wewe na wala hawawezi kuwa
na muda wa kuwaza madhara yanayoweza kutokea kwa ujinga waliofanya.Tatizo ni udhaifu wa utendaji wa serikali.

Wale walevi wa kwa Davis pale Kijitonyama manifest well who these guys are....kawaone wanavyo behave in their free time
 
Ukombozi gani unaouongelea? tufupishe mazungumzo, je upo tayari kulipa sales tax/VAT ya 50% or so, na/au PAYE ya 50+ % kufidia madai ya madaktari? au unadhani watalipwa from where?

Kutoka kwenye pesa zinazoibiwa na mafisadi wa ccm kama dola bil 300 zilizoko uswiss.
 
Back
Top Bottom