kalaghesye
Member
- Jan 16, 2012
- 79
- 11
Jamani naona watu mmecharge kama mafahali wawili ndani ya zizi! Ni vizuri kuwa na tahadhari kumhusisha Rais na kutekwa kwa Dr. Yes uongozi wake una matatizo lakini kumhusisha na hili jambo tunakwenda mbali. Kikwete si mtu wa visasi vya namna hii. Ana njia nyingi tu kama angetaka za kumdhibiti Dr. na asingekuwa na haja ya kutumia njia ya aibu namna ile.
Mtu anayesababisha shida ya madaktari ni waziri mkuu. Ameshidwa kumshauri rais ipasavyo kwenye jambo hili.
wanagoma na mwisho wa mwezi wanaenda na ATM kudraw Bank fedha zetu walipa kodi huku wagonjwa wetu wanakufa hospitali. hii ni halali? kwanini waendelee kulipwa mwezi huu? kwanini serikali haigomi kuwalipa kwa kususa kwao? hawatendi haki hata kidogo.
Well, I guess its only fair. After all, it's what he does best...kutembelea wagonjwa, wafiwa..and the list goes on and on!
Pole kweli wewe, hivi unawezaje kumuhudumia mgonjwa mahututi wakati huohuo unamwambia kalete Groves,
kwa huko vijijini mama mzizi anaambiwa njoo na na mafuta ya taa ya kuchemshia maji, kuwasha taa, groves na maji yake.
hii kazi ni ngumu sana na ni hatari pia (naamini unanielewa )
Umbeya tu, nani kakuambia mama yake amefariki? Au mnataka afariki mshangilie kama mnavyoshangalia kifo cha mama yake Wassira?amerithi toka kwa marehemu mama yake!!!
Nasikia Dr Ulimboka alikuwa Jolly alipofikwa na maafa haya ni kweli?
Nasikia Dr Ulimboka alikuwa Jolly alipofikwa na maafa haya ni kweli?
Anaendelea vizuri nimechart na jamaa yangu lhrc kaniambia jamaa anarecover ingawa kasema lengo la watekaji ilikuwa ni kuua na walijua wameua!!!!!!!!!!!ngoja nimcheki tena baada ya mida .
Mkuu umenena maisha magumu ni kwa kila Mtanzania...kila taaluma ina umuhimu wake.Watanzania wote tuwalaani madaktari kwa kitendo chao cha kinyama
Madaktari hawapo katika kutetea huduma za afya wangekuwa wanatetea kuboreshwa huduma wasingekuwa wanagoma kuacha watu wafe. Wao wapo ki maslahi binafsi!
Nasikia Dr Ulimboka alikuwa Jolly alipofikwa na maafa haya ni kweli?
Duh ningekuwa nafikiria kama wewe hata 1/10000000000000000000000000000000, ningeomba israeli anichukue:sad:Kwanini ulisomea udaktari? ungesomea usecretary ili uendelee kuwa smart na kazi isiyo na hatari,hivi watumishi wengine wa serikali wakigoma kama madaktari nchi itatawalika?,kwa yaliyotokea hilo ni onyo na somo kwa madaktari ili mthamini na utu wa wengine eti kalete gloves! kwani huduma ni za bure! si analipa mgonjwa kwanza siyo mgonjwa anayenunua walio karibu yake au manesi wanafanya kazi hiyo na siyo daktari,eti kazi ya muhimu sana hivi mnajua kazi za muhimu nyie?.hivi kuna madaktari wangapi huko vijijini? ni sawa na hakuna wote wapo mijini wananchi wanakufa kama kuku huko vijijini hamuwatembelei na hata akifurukuta kuja mjini nako Israeli anamfuta kisa mgomo!mnakula nchi tu mijini,iko siku mkihamishiwa vijijini mnagoma na kuishinikiza serikali eheee hivi nchi hii yakwenu peke yenu,natak kulia R.I.P Dr. Ulimboka kama wale ndugu zetu wanavyokufa kule vijijini kama kuku mwenye mdondo.
Umejenga hoja kwenye dhana za uongo. Kwanza dk ulimboka hakuwa peke yake. Pili, hakuna maelezo yoyote mahala popote ktwa alishawishiwa kwa pesa, tatu, hakuitwa na mtu yeyote, bali alikuwa na wenzake Leaders club wakipata kinywaji.Huyo Dr Ulimboka siyo COMANDO,atakuwa ni mla rushwa (CORRUPT) sana na inavyoonekana anaweza kuwauza wenzake.Nasema hivyo kwa sababu ukiiangalia hii incidence unaona kuwa huyu Dr Ulimboka ana tamaa ya pesa na anaendesha mgomo kwa kushawishi wenzake ili anufaike binafsi.Nasema hivyo kwa sababu hebu fikiria kwa akili ya kawaida tu,wewe una ishu kubwa kama hiyo ya mgomo,halagu unaitwa na mtu usiyemjua ili mkafanye reconcilliation na wewe unaenda tena peke yako!!!!.Bila shaka ni reconcilliation kuhusu mgomo.Hapo naona kuwa anaweza kuitwa na watu asiowajua na yeye akaenda tena peke yake!!!!.Baada ya hapo anaweza kuwageuka wenzake.HAFAI KABISA ANASUMBULIWA NA TAMAA NA NJAA TU.
wewe ungekuwa na akili kuleta ujumbe wa wale waliokutuma bor mara 100 ungesema serikali inahusika kuliko kusema wananchi, so unamuua anaekutibu kesho atakutibu nani? So madk na manesi waache kuhudumia wagonjwa wote kwa vile mnawaua, hiyo serikali yako itabaki madarakani? Hata hujui kuwatetea waliokutuma, hapa serikali hawatoki, sijui hata mnapataje hizi kazi ilihali mnashindwa kufikiri cha kusema kwa mambo madogo km hayanyie mnaomtetea dr ulimboka hana akili wote kwa sababu serikali haiusiki hata kidogo kwa swala la kupigwa kwa dr,na kwa taarifa yenu aliyehusika na kitendo hiki ni wananchi wenye hasira kali ni baada ya kupotelewa na kufiwa kwa ndugu zao