Madaktari achaeni mzaha na hili jambo,for sure tuko wengi sana tunahitaji kujua Jemedari,dr Ulimboka S anaendeleaje,japo najua mna miiko(Ethics) inayowaongoza lakini kwa hili tafadhalini mtujuze tujue anaendeleaje,msitufiche tafadhali wengi wetu humu JF ni watu wazima na wengine tulishakitana na majaribu hivyo tutavumilia whetever the condition is,ila i hope dr is doing well,zaidi tupeni confirmation.
Kingine watanzania wenye nia ya dhati,watanzania tusio sehemu ya matatizo ya nchi hii,wananchi wenye moyo wa utu,nadhani kuna haja ya kuwa waangalifu na watu wasio tutakia mema,kama kuna mtu anaangalia bunge asubuhi hii nadhani mmeona baadhi ya wabunge waliokuwa wakilitaka bunge lijadili mgogoro huu kati ya madaktari na serikali,na kwa kuwa bunge ni chombo pekee cha kuisimamia serikali kwa niaba ya wananchi,mmemushuhudia Spika Makinda alivyoendelea kukataa suala hili lisijadiliwe bungeni na kutimiza wajibu wa bunge wa kuisimamia serikali.
Kwangu mimi Spika wa bunge Makinda ni adui namba moja wa afya ya watanzania,lakini pia naona kuana dalili tosha kwa wabunge wa CCM kuwa wanakaa kimya ili serikali yao isiangushwe,au isionekane kama imeshindwa.tuwe macho na watu kama hawa