Prof....Sijaelewa hapo kwenye Red unamaanisha nini..
Hatuna utamaduni wa kuwajibika...only very few.... record yangu ina majina machache sana....Ally Hassan Mwinyi, Augustine L. Mrema, Edward N.Lowassa na Peter Mavunde.....
May be kama unadhani hao kwenye Red nao wanaweza kuingia katika historia ya kuwajibika though for what.....Mbona yametokea mengi waliyopasa kuwajibika lakini wamekula jiwe...
Mkirua, Unakumbuka Pinda katika moja wapo ya mabunge ya hivi kiaribuni alijaribu kuwajibika hasa kulinda heshima yake, ila unadhani nini kilitokea? Katika uchaguzi uliopita, wakati wanatangaza matokeo ya Uraisi unakumbuka reaction ya Raisi pale wana-CCM walipokuwa wanamshangilia kwa nderemo na vifijo (hakufurahishwa na waliwanyamazisha maramoja, akiwa amejaa na hasira). Ni hivi, hata kama ni wewe, itategemea sana inteligence system inasimamia vipi maswala ya uongozi, je iko juu yako wewe kama mtawala au uko juu yake? Na inapaswa kuwa smart katika uongozi uwe na counter-inteligence system ili kuvalidate most of the information. Kinachojiri ni kuwa hata kama watataka kuwajibika leo, bado Inteligence system inaweza ikawazuia kufanya hivyo kwa minajili ya usalama wa nchi.
Mfano, Matokeo ya Uraisi yanaweza kuwa CCM wakashinda na CHADEMA wakafuatia kwa karibu, lakini kura zao zinaweza zisiwe zimefikia asilimia hamsini kwa ujumla, sasa basi, inabidi serikali ijiridhishe kuwa ina fedha na budget ya kutosha kurudia uchaguzi, kama haina there is no way nchi ikabaki bila Rais (
Sisemi kuwa mbinu chavu inabidi zitumike a a!).
Au Waizi Mkuu anapotaka kuwajibika halafu inteligence information ina-brief Riasi kuwa altenative list yake hakuna credible person na ana-run risk ya kuwa na un-stable cabinate iwapo ata-pick any of his altenative list!!
Au Intleigence information zinamwambia, tushuma zinazomkabili Waziri Mkuu si za kweli na anapewa source iliyopelekea kutuhumiwa Waziri Mkuu na vyanzo vyake, katika judgement anaweza akaamua kumuonya Waziri Mkuu kutochukua hatua hizo hata kidogo, na kumkumbusha hatari zitakazojitokza iwapo ataamua vinginevyo.
Ila akijiridhisha kuwa ni kwa manufaa ya kitaifa, tuhuma ni za kweli, na hakuna risk yoyote ya kitaifa kwa yeye kutoka why not??
The last resort ya uwajibikaji ambayo huwa haitegemei inteligensia, ni public pressure, which has never been our tradition, and has never been enough in our country (with exception of Arusha and Mbeya which make it isolated cases due to histoy). Haijalishi Kiongozi huyo ni msafi kiasi gani ila basi tu public hairidhishwi na staili yake ya ungozi.