mob
JF-Expert Member
- Dec 4, 2009
- 2,262
- 1,360
Si vizuri kuombeana mabaya alichokuwa anakipigania ulimboka ni pamoja na uwapo wa madawa na vifaa tiba katika hospitali ili kufanya madaktari kufanya kazi kwa urahisi sana.
Kama unaelewa system ya afya hapa nchini usingekuwa unalaumu mgomo wa madaktari kila siku tunasikia madaktari au manesi wanalaumiwa kwa lugha chafu hii ni kutokana na kuwa wachache na hivyo kushindwa kutoa huduma stahiki kwa wote na kuwaridhisha pili tumekuwa tunalalamika hakuna dawa hii ndio jambo lingine walikuwa nao wanalisimamia na kupinga watu kulazwa chini wakatoi serikali inazo fedha za kutosha katika kuweza kutatua matatizo haya.
Fikiria kwa umakini utajua uwezo wa serikali kutatua tatizo upo lakini hakuna dhamira dhati ya kutatua hili tatizo,kama tumeweza kufanya uchaguzi kwa mamilioni,sherehe za mabilioni za uhuru kwa nini tushindwe kufanya maamuzi magumu katika sekta ya afya?
By the way Bob Marley once said that How long shall they kill our prophet while we stand aside and look.