mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Mama naamini katika chanjo na Lisu pia anaamini katika chanjo.
Mama anaamini sana wazungu, Lisu pia wazungu kwake ni kila kitu.
Mama hajawai kuwa na bifu na Lisu, na Lisu pia hajawa kuwa na bifu na mama.
Mama hajalala sana au kabisa katika dini, Lisu pia hana historia ya kugusa kanisani.
Mama anataka madini yajulikane na wazungu maali yanapopatikana na jinsi yanavyo chimbwa, Lisu anatamani na kuamini kuwa madini yote ni yao wayachukuwe tu.
Mama anakauli zinazo badirika mdomoni, Lisu pia anakauli zinazo badilika sana.
Mama kama hana siasa na tabia za ujamaa, Lisu hataki hata kusikia neno ujamaa.
Mama anapenda Ulaya na kusafiri Ulaya, Lisu anapenda ulaya na anazunguka Ulaya na Marekani.
Baada ya similalitiz sasa tofauti zao:
Mama anatokea chama tawala, Lisu anatokea chama cha upinzani.
Mama ni mpole kuongea na vitendo, Lisu ni mkali, jaziba na hasira.
Mama haamini sama au kabisa katika katiba mpya, Lisu anaamini sana katika katiba mpya.
Mama anakijua kizungu mdomoni na kuandika lakini hajionyeshi, Lisu anatamani kizungu kiwe lugha ya taifa pakee bila kiswahili na anaona sifa kama wa TZ wote watajua kizungu.
Mama anaamini wanawake pekee ndiyo watakao mpa kura, Lisu anaamini nguvu ya umma ndiyo itamtoa.
Mama azungumzi kabisa mapenzi ya jinsia moja, Lisu anazungumzia sana mapenzi ya jinsia moja.