Kabla mashindano hayajaanza ulifikiri Chelsea angeweza kufika hapa?Mmmh...! Mkuu hii si carabao ni FIFA world club cup 2025, si pa kutabiri kwa historia bali ni kujitoa kwa jasho na damu na umakini wa wachezaji wa timu yoyote kushinda kombe.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
CCM ya Samia ni Kama Paris saint Germain ya EnriqueLeo tujiandae na Dakika 120 + matuta.
Kuna derby flan ya yanga na simba sikumbuki mwaka gan....ila Ajibu alikuwa yanga akaanzisha mpira kwa kuutoa njeHuu mfumo ungetumika na timu za Africa tungesema ni uchawi.
View attachment 3404315
KabisaKuna derby flan ya yanga na simba sikumbuki mwaka gan....ila Ajibu alikuwa yanga akaanzisha mpira kwa kuutoa nje
We mechi iliisha kwa yanga kushinda Moja watu wakasema mganga ndiyo alisema mpira ukianza toeni nje 😂
Alikula 4 kama pacha maenzie athletico madridMadrid kafungwa ngapi nambie basi
Huu nao ni ujinga....sasa unapiga huko alafu unaanza tena kukaba ili upate mpira wakati ulikuwa naoHuu mfumo ungetumika na timu za Africa tungesema ni uchawi.
View attachment 3404315
Kwann unijibu leoAlikula 4 kama pacha maenzie athletico madrid
Ndio nimeona hapa....wee waangalia wapi fainali?Kwann unijibu leo
Ndioo psg vs chelsea...final hiyo. Wacheki wapi final mremboNa leo kuna mechi?
Hapana hiyo mbinu inabomoa sana saikolojia ya mpinzani wako.Huu nao ni ujinga....sasa unapiga huko alafu unaanza tena kukaba ili upate mpira wakati ulikuwa nao
Aah nataka nijue mechi inaanza saa ngapi?Ndioo psg vs chelsea...final hiyo. Wacheki wapi final mrembo