Hawa majamaa bn inaonesha airforce yao inapenda shughuli sanaMarekani kwenye shughuli ya mpira lakini kaamua kurusha ndege vita
Hana jambo ndogo🤣🤣
Anatamba na ukubwa wakeHawa majamaa bn inaonesha airforce yao inapenda shughuli sana
Team PSG tujuane maapemaTupo live kushuhudia mtu anavyoaibishwa
Natamani iwe hivyo maana kwa kweli fabo wanalocheza ni full burudaniKabisa.
PSG wananyua kwapa
✌Team PSG tujuane maapema
Na mimi naamini hilo.Chelsea itawashangaza walimwengu