Umeisha tyr mwambie arudi homeJamani mpira haujaisha?
Umeisha tyr mwambie arudi homeJamani mpira haujaisha?
Bro sii unaonanlakini gusa achia twende kwao ya ukweli sio hii ya wantwa supu.We jamaa ni fala sana
Sawa🤣🤣Umeisha tyr mwambie arudi home
Bwana ukiwa na wachezaji hupati tabu...wee mchezaji anacheza na mpira kama vile anachezea tope utotoni...ball control ndio usiseme.
Umeisha muda mrefu erh?
Niazime hii ngeli nikaombee mbusus..Bro sii unaonanlakini gusa achia twende kwao ya ukweli sio hii ya wantwa supu.
Huyu barcola ile turning aliyopoga pale sijui kafanya fanyaje...absolutely sublime....madrid have been taught a footballing lesson, reduced to mere mortals , their colours lowered with no reply.
This is what money can do for u, procure the best players and tactician to build a team that every football lover enjoys watching.
If it pleases the footballing gods, then come sunday, may the parisians be crowned club world cup champions.
Africa hamna mpira twana tunaishia tuu kusema tuna vipaji tuna vipaji...lakini kuendeleza hatuwezi.Nawakumbuka kina Amrabati nacheka sana 😃😃
Ndiyo mwambie awahi akupe viwiliUmeisha muda mrefu erh?
Et ngap ngap
Mbususus ukiomba kwa hii ngeli utaambulia matusi 🤣🤣🤣🤣Niazime hii ngeli nikaombee mbusus..
Nyoosha mkono wa kulia halafu kunja kidole kimojaSa sim nambie matokeo🤨
Kama unahisi madrid kaonewa basi peleka wewe timu yakoEt ngap ngap

Kabisa mzeya yule barcola bakola kweli kweli yaani kapiga turning moja matata pale....ata mie mtazamaji nilipigwa chenge japo aipo uwanjani.Amewanusuru maana bao la 5 lilikuwa linanukia
Leo hadi mkongwe modric kaingia lakini akigusa mpira control chumba na sebule 🤣🤣🤣🤣Kama unahisi madrid kaonewa basi peleka wewe timu yako
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app