2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Mmmh...! Mkuu hii si carabao ni FIFA world club cup 2025, si pa kutabiri kwa historia bali ni kujitoa kwa jasho na damu na umakini wa wachezaji wa timu yoyote kushinda kombe.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kabla mashindano hayajaanza ulifikiri Chelsea angeweza kufika hapa?

Kama ilitoboa UEFA zile za Munchen na Man City ambazo ubora wao hata PSG hajafikia, basi hashindwi kwenye hii fainali.

Lolote linaweza kutokea na Chelsea ana nafasi pia.
 
Screenshot_20250711-075512.png

Ponjoro sio FARA. kama unaiamini timu yako kotoka UINGELEZA huko DALAJANI Weka mamilioni upige HERA
 
Kuna derby flan ya yanga na simba sikumbuki mwaka gan....ila Ajibu alikuwa yanga akaanzisha mpira kwa kuutoa nje


We mechi iliisha kwa yanga kushinda Moja watu wakasema mganga ndiyo alisema mpira ukianza toeni nje 😂
Kabisa
 
Back
Top Bottom