uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 14,683
- 20,460
Saa nne UsikuAah nataka nijue mechi inaanza saa ngapi?
Saa nne UsikuAah nataka nijue mechi inaanza saa ngapi?
Saa nne kamili...hapo linapigwa mbungi la maanaAah nataka nijue mechi inaanza saa ngapi?
Mwee hamna kitu kama hicho wee ukutane na wanaojua mpira unawapa mpira evo utahsaka kama dakika mbili hivi.Hapana hiyo mbinu inabomoa sana saikolojia ya mpinzani wako.
Siku zinae da fasta kama juzi tuu hapa mashindano yalianza. Wacha yaishe tuanze na chan sasaHatimaye! Safari inatamatika leo.
Hongereni wa PSG
Kabisa.Siku zinae da fasta kama juzi tuu hapa mashindano yalianza. Wacha yaishe tuanze na chan sasa
Sio game rahisi hata kidogo.It is not easy
Ugumu unaonekanaSio game rahisi hata kidogo.
Mkuu Sema mdomo koma
Tutakuwepo
Hivi nini kile😀😀Marekani kwenye shughuli ya mpira lakini kaamua kurusha ndege vita
Hana jambo ndogo🤣🤣
Anajua mamilioni ya watu wanatazama mechi hii, kaamua kutuma salamu kiainaHivi nini kile😀😀
Mzee mshenzi huyu dah, 😀 😀Anajua mamilioni ya watu wanatazama mechi hii, kaamua kutuma salamu kiaina
Wakubwa hao wa dunia🤣🤣Mzee mshenzi huyu dah, 😀 😀