AHAS
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 803
- 1,382
Mbape ni nuksi sanaLeo hadi mkongwe modric kaingia lakini akigusa mpira control chumba na sebule![]()




Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Mbape ni nuksi sanaLeo hadi mkongwe modric kaingia lakini akigusa mpira control chumba na sebule![]()




Hawa psg wamkabe neto na yule palmer story kwishneyyy.Tunasubiria Fainal jumapili
Na ndio alipo bugi bwana alonso. Mbape angetulia nje tuu aingie kama sub. Huyo ascensio nae majanga tuu.
Hujanijibu lknKama unahisi madrid kaonewa basi peleka wewe timu yako
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Ai 4🤣Nyoosha mkono wa kulia halafu kunja kidole kimoja
Hatari hiyo psg msituangushe jamani
Huku nilipo hii ngeli nitajizolea hadi niziikimbie.Mbususus ukiomba kwa hii ngeli utaambulia matusi 🤣🤣🤣🤣
Hawa kenge zetu nenda nao na kiswahili tuu
Ngeli ya mabackbencher tunatisha mzeya....namba zinawezakuwa zilitupiga chenga ila ngeli hapana aisee maana kwanza kuangalia mtv kwa wingi basi humo humo unapata maneno.Huku nilipo hii ngeli nitajizolea hadi niziikimbie.
PSG kwa sasa inaitwa gusa uungueEnrique amejua kuinoa PSG aisee imekuwa ya Moto balaa Kila anaegusa anaunguzwa shwaaa
HAKIKAFainali za Chelsea huwa zinamkuta akiwa hategemewi... Na hili anachukua.
Mmmh...! Mkuu hii si carabao ni FIFA world club cup 2025, si pa kutabiri kwa historia bali ni kujitoa kwa jasho na damu na umakini wa wachezaji wa timu yoyote kushinda kombe.Fainali za Chelsea huwa zinamkuta akiwa hategemewi... Na hili anachukua.
Anatoka patupu, hii ni ya ParisFainali za Chelsea huwa zinamkuta akiwa hategemewi... Na hili anachukua.
Wait and see mate, we heard the same statement in 2021, everybody thought City waz going to walk over chelsea in porto, but it turned out to be Kante's night after stealing the show by disrupting City's rhythim and made their attacks harmless and eventually chelsea secured the victory.Kwa mara nyingine tunaenda kushuhudia fainali nyepesi
Chelsea vs Psg