Bayern haikuwa na mpango mzuri nadhani kocha wao sio mzuri wa mbinu ila Jana walikuwa na nafasi ya kumuondoa PSGPsg jana walicheza hovyo lakn naona wamewaroga wachambuz wa hapa bongo kwa kuendelea kuisifia psg
Madrid ni adui yangu mim kama shabik wa barca,dortmund alaf psg aliifunga tim yangu ya liverpool kila la kheri xabiBayern haikuwa na mpango mzuri nadhani kocha wao sio mzuri wa mbinu ila Jana walikuwa na nafasi ya kumuondoa PSG
Madrid ndio team pekee nadhani haijapoteza mchezo hadi Sasa
Hili kombe wanabeba tena mapema tu
Mtashenyentwa vibaya nyie na vitinha 🤣🤣🤣Ndio uhalisia hata kama mpira unadunda ila mshindi wa hapa ndio bingwa
Na kifupi bingwa ni Madrid
Vitinha kinapanda na kushuka Sasa ngoja uone Kila kikipanda kule Garcia anaweka kikishuka tunakipa wa goti kinaweka chenyeweMtashenyentwa vibaya nyie na vitinha 🤣🤣🤣
Ndio maana naipenda ligi ya uingereza kuhusu makusudio ya kumvunja mchezaji mguu yaan ukionyesha meno ya viatu tu hata yasipofika kweny mguu unakula umeme
Hii imefanya matukio ya kuvunjna miguu kuisha
Hili tukio la musiala limeniumiza sana hadi mzuka wa kuchek game ikaisha
Musiala alitakiwa kumruka kipa hivi vitu huwa wanafundishwa sana mazoeziniNdio maana naipenda ligi ya uingereza kuhusu makusudio ya kumvunja mchezaji mguu yaan ukionyesha meno ya viatu tu hata yasipofika kweny mguu unakula umeme
Hii imefanya matukio ya kuvunjna miguu kuisha
Hili tukio la musiala limeniumiza sana hadi mzuka wa kuchek game ikaisha
Huna akili wewe na story zako za kahawa ungekuwa unajua hela za walipa kodi zinavyopigwa ungekaa kimyaIlituchukua miaka 59 (1961-2020) kujenga vituo 8,783 vya kutolea huduma za afya.
Mama ametumia miaka minne (2021-Aprili 2025) kujenga vituo 4,063.
Kwa miaka 10, atajenga vituo sawa na tulivyojenga tangu uhuru.
#TikiKwaSamia
Amekuja kutuchafulia uzi wetuHuna akili wewe na story zako za kahawa ungekuwa unajua hela za walipa kodi zinavyopigwa ungekaa kimya
AiseeFluminence bingwa
mpira wa chelsea haunivutii mara nying sijui kwa nin?Siku ya ball tena.
All the best Brazilians
Ila wanabahati tu.mpira wa chelsea haunivutii mara nying sijui kwa nin?
Uwanja umetapikaIn Metlife Stadium
Huku ndio umerudiTanesco wamepita nao.
Dadeki zao...
🤣Fluminense FC kindakindaki npo hapa
Cheltako hamna timu hapo ukiona shabiki wa Cheltako mnene huyo ni mnafiki