Injury ya musiala imeshusha morali ya timuMmeushangaza kwerikweri
Inasikitisha sana, injury ya musiala imeshusha morali ya timu kabisaMkuu upoooooo na hizo kadi zenu
Injury ya musiala imeshusha morali ya timuBayern kumfunga psg sio maajabu yaan toka mtufunge barcelona zile gori 8 nawaogopa sana nyie watu lakn nawaombea mshnde ili kocha aongeze cv yake na sis dortmund tuna jambo letu
Vipi redcards2 za psgInjury ya musiala imeshusha morali ya timu
Mimi hapa ☝️☝️☝️🙋🙋Tunao tamani madrid afungashe virago mbona siwaoni
Mbona ni bahati mbaya ile mzee kipa hakukusudia jamaa TU kaanguka vibayaNdio maana naipenda ligi ya uingereza kuhusu makusudio ya kumvunja mchezaji mguu yaan ukionyesha meno ya viatu tu hata yasipofika kweny mguu unakula umeme
Hii imefanya matukio ya kuvunjna miguu kuisha
Hili tukio la musiala limeniumiza sana hadi mzuka wa kuchek game ikaisha
Sana mkuuVijana wanajua bwana unaangalia boli unafurahi
Ndio inaanza hapaSana leo tutawashangaza watu
SafiTupo LIVE mkuu
DaahMakocha huwa wanalaumiwa sababu ndio wanafanya selection ya wachezaji, kwa hiyo akipangwa mchezaji anaekosa magoli lawama pia ni kwa kocha ,kwa nini ampange anaekosa magoli.
Tutakuwepo🤣Fluminence bingwa
Keep this comment