2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Mpira wa kisasa ni akili tupu siyo miili mikubwa, naona mabeki timu zote ni kina Job tu.

Hadi Barca ni hivi hivi
 
Michezaji mingine bana, wee umetoka bench unakuja leta ufala tena sasa kadi nyekundu ya kingesee kingesee
 
Back
Top Bottom