2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Mfumo Mbovu, wakiwa kwenye box lao hawafanyi marking nzuri, magoli YOTE yamefungwa wafungaji wakiwa free kabisa bila kukabwa na MTU, Yani watu wako 9 nyie 11 halafu kukaba MTU na MTU mnashindwa wakati nyie mko Weng?
🤣🤣🤣 wewe ukiwa kocha unaweza ukaua wachezaji
 
Jamal musiala ana kipaji kikubwa sana ila changamoto anazopitia daah!mpaka huruma yaani
 
BAYERN Kacheza vizuri lakn watafute namba 9 mwingne kane kawaangusha umri umeenda
 
Mfumo Mbovu, wakiwa kwenye box lao hawafanyi marking nzuri, magoli YOTE yamefungwa wafungaji wakiwa free kabisa bila kukabwa na MTU, Yani watu wako 9 nyie 11 halafu kukaba MTU na MTU mnashindwa wakati nyie mko Weng?
Mentality ya wachezaji wa Bayern kwa dakika zile za mwisho za nyongeza ilikuwa ni kushambulia zaidi sio kuzuia au kumark ntu na ntu.

However, discipline ya baadhi ya wachezaji wa PSG nayo haikuwa nzuri sana wamefanya makosa ambayo yangeweza kuigharimu timu na pengine kuondolewa kwenye mashindano.
 
Back
Top Bottom