Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,303
- Thread starter
- #1,041
Muda mchache ujao, PSG Vs Bayern Munich
Hii ya sasa hivi .Kila la kheri wajerumani wote
PSG to SemiMuda mchache ujao, PSG Vs Bayern Munich
RIPHii Dakika moja ya Silence huwa inatia uchungu sana.
R.I.P Jota and Ande
Wanapasi zinazofikaPSG wanaavyoanza mpira inashangaza sana
Wakianza mpira huwa wanatoa nje🤣🤣 ingekuwa huku kwetu watu wangesema wamerogaWanapasi zinazofika
😃😃😃Wakianza mpira huwa wanatoa nje🤣🤣 ingekuwa huku kwetu watu wangesema wameroga
Ukipigwa kuchomoa itakuwa kazi kweli kweli.HII mechi ni ya moto sana...!!
Halafu naona kama vile wote hawana hakika nini kitatokea. Kila timu inahisi ikifungwa ndiyo itakuwa imeisha!!Ukipigwa kuchomoa itakuwa kazi kweli kweli.
Na atakaye shinda hii kuna uwezekano mkubwa ndio BingwaHalafu naona kama vile wote hawana hakika nini kitatokea. Kila timu inahisi ikifungwa ndiyo itakuwa imeisha!!