uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 14,683
- 20,460
Yeah! Unaangalia mpira una enjoyJamani mnaona wanaujua mpira wanavyo cheza sio sie kelele nyingiiii hamna kitu
Yeah! Unaangalia mpira una enjoyJamani mnaona wanaujua mpira wanavyo cheza sio sie kelele nyingiiii hamna kitu
Watu wapo so comfortable with the ball...sio inagonga ugoko...huyo barcola kashusha mipira miwili aisee hatariYeah! Unaangalia mpira una enjoy
Anayepita hapa ndio bingwaKane anakosa goli muhimu sana
Btw gamw imebalance wote wanawezana kwa sasa
Hii gemu watu wa mikeka presha inapanda Presha inashuka!!Offside
Leo kastaaf kushambulia saf sana komanHakimi very talented...
Right back anayeshambulia
Amefanyiwa subDaah jamaa anarudi tena nje View attachment 3395223
🤣🤣PSG anatoka.
Bayern wakikaza wanashindaBayern wameingia kama vile wametoka kupuliza shisha... Hawaeleweki!
Hata kama hakuna timu unayoishbikia lakini kuangalia hii mechi hakuchoshi!Hawa jamaa mpira wanaujua