2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Ngoja tumuone nae palmeras atafanyaje
Sema leo kipute kitachapwa
1000175769.jpg
 
Kipindi cha Pili.
Chelsea 1 - 0 Wabrazil
 
Kuna namna dunia ya soka huwa inashikamana.
Hivi vitambaa vyeusi mikononi for Jota.
Ni ishara ya mshikamano kisoka.
 
Chumaaaaaa...
Palmeiras wanapata magic goal kutoka kwa kijana wa miaka 18...
Magical goal...
Brilliant finish from Estavao.
 
Dk 4 za nyongeza
Palmeiras 1 - 2 Chelsea
 
FT
CHELSEA TO SEMI FINAL...
Watakutana na Wabrazil wengine Tarehe 8.
1-2
 
Back
Top Bottom