2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

BENFICA-pts 4
BAYERN-pts 3
BOCA JR-pts 1
NDUGU ZETU- wana -15 na pts 0
Yule kiungo Zhou alikuwa kashika kiungo vema sana baada ya kutoka kwa Kuumia ndio Benfica wakapumua dogo aliipoteza kabisa kiungo ya Benfica
 
man of the match ANGEL DI MARIA lakn ilifaa kipa wa auckland apewe tuzo lakn wapga kura wamemuangusha
Wapiga kura wazingatie hata team inapopoteza mchezo bado iweze kutoa man of the match dogo lazima apate "endorsement"team kubwa kubwa japo nadhani bado ni mwanafunzi
 
Nimefurahi ndugu zetu wa Tunisia wameibuka.
Esperence 1 - 0 Los Angeles
Bayern 2- 1 Boca Juniors

Leo Saa Moja.
Mamelodi vs Borussia Dortmond (game ngumu)

Saa Nne
Intermilan vs Urawa

Prayer and thoughts over Mamelodi
 
By the way una uhakika FIFA ndio wametoa hizo points ? Nadhani (sina uhakika) FIFA wanatoa points kwa Timu za Taifa (International Rankings) kutokana na mashindano ya Kimataifa ambayo Timu za Taifa zinacheza na ugumu wa mashindano hayo.... ila UEFA na Taasisi kama IFFHS ndio zinafanya hivyo (na haya mambo ni subjective) na according to IFFHS Italian League ndio Strongest (Sasa bado naweza ku argue Strongest sio necessarily Bora)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…