2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Diego simeone aachie tim waje makocha wengne kuleta changamoto mpya
 
Seattle wanakiwasha sasa Vs Botafogo.
Watu wanakiwasha...

The 1st good game ya haya mashindano ni Palmeiras vs FC Porto iliyomalizika 0-0
Game ilichangamka sana , Palmeiras wanacheza mpira wenye skills nzuri ila pasi zao nyingi zilikuwa fupi ila za kiufundi
 
Halafu yana nguvu.
Ukisikia mtu ana miaka 21.
Unaogopa
Game ya south america ina ufundi na uhuni mwingi 🤣🤣 walikuwa wanawashangaa benfica kujiangusha kwa vi foul vidogo kama vile , wazungu walaini sana bora yule black left wing
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…