Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,133
- 122,588
Mtani Bayern wananiwakilisha vyema huko.
Dkk ya 23 tuna bao 4.
Mtani Bayern wananiwakilisha vyema huko.
Aisee ni hatari na hapo bado wana zaidi ya dkk 60 uwanjani. LolHawa Auckland watoe timu uwanjani.
Aibuu
Mdogo wangu sio kakutana na timu bora?Huyu Auckland City ndio anaweza kuwa underdog wa haya mashindano
Hawa hata Mnyama anajipigia tuAisee ni hatari bado wana zaidi ya dkk 60 uwanjani. Lol
Dk ya 21 kashatupia chuma 4 kwa nungeNafikir BAYERN anaenda kuweka rekod ya peke yake siku ya leo
Oooiii. Kwani hawa ndo wanaiwakilisha USA au?Hawa hata Mnyama anajipigia tu
😃😃Dk ya 21 kashatupia chuma 4 kwa nunge
Bayer kadondosha bomb motuary 🤣🤣🤣🤣Mtani Bayern wananiwakilisha vyema huko.
Dkk ya 23 tuna bao 4.
Hao Auckland wana beki moja ni Che Fondo Malone mtupuNasimama na timu za Ujerumani popote zitakapoishia panatosha.
#Bayern Munchen
#Borussia Dortmund
Dada hujadandia timu kweliMtani Bayern wananiwakilisha vyema huko.
Dkk ya 23 tuna bao 4.


New ZealandOooiii. Kwani hawa ndo wanaiwakilisha USA au?
Wanatokea New ZealandOooiii. Kwani hawa ndo wanaiwakilisha USA au?
NewzeelandOooiii. Kwani hawa ndo wanaiwakilisha USA au?
Hii tim ingekutana na bayern ya lewandowski mtu angebeba kiatu cha ufungaji siku ya leoDk ya 21 kashatupia chuma 4 kwa nunge
Barcelona haishiriki hii michuano. Amsubiri R.Madrid, Manchester City au PSG ndio atapambana nazo.Bayer kadondosha bomb motuary 🤣🤣🤣🤣
Hapa tunamsubiria barcola na bwana mendez