Bayern kakutana na walevi ngoja magroup yaishe takataka zote zitupishe wabaki wanaume wa kazi.Ndondo cup iliyochangamka!
Kwa mzungu kutabaki kwa mzungu tu.Viwanja vyao uki compare na vyetu huku shimoni ni mbingu na ardhi
Hawa wanatoka new zeland mbali kabisa karibu na barafu la actic ni kisiwa nchi nzuri sanaMagoli mengi hivi mechi inapoteza mvuto
Kikapu km upo bongo maraHayo masaa yao ndio yanafanya hata kufatilia huo mpira wa kikapu iwe changamoto.
Uwiano wa masaa kati yetu na Saudia umefanya ligi yao tuifatilie.
Ni kwa ninyi wachache tu, game zao ni usiku wa manene au asubuhi. Jau sana.Kikapu km upo bongo mara
Nyingi saa kum na mbili asubuhi
Nimezoea mm huwa sikosi
PSG 1 - 0 Atletico De MadridSisi wafuasi wa el cholo na ukuta wake wa chuma tunamsubiri Psg tumuonyeshe kuwa hakustahili kubeba uefa![]()
Hii hapa, ilikuwa SemifinalWamenikumbusha kuna World Cup moja kama sio Ujerumani basi ni Argentina alimpiga Saudi Arabia za kutosha.
Kama sio 7 basi zilikuwa 9.
Naangalia uku na uku😁PSG 1 - 0 Atletico De Madrid