TutakuwepoHaya sasa ni zamu ya wanaume wa London kumpiga mtu nyingi
Oyaa hili bonge la dimbaa, na City tutakipiga hapa game ya pili na Al Ain.Mercedes Benz Stadium, Chelsea atakipiga hapaView attachment 3371926
Lakin viwanja hawavitendei hakiIla marekani wana viwanja ase, kiwanja kama upo Theatre/Cinema.
Unataka kusemaje, em Sema point yako n ipiTukisema chelsea ina mashabiki wa UMISETA Mashabik wanakuja kutupiga mawe
Nilitaka kumaanisha wachezaji wa chelsea asilimia kubwa ni wa umisetaUnataka kusemaje, em Sema point yako n ipi
Sawa, haya tuambie point yako n ipi sasa?Nilitaka kumaanisha wachezaji wa chelsea asilimia kubwa ni wa umiseta
Mfano kwenye umaliziaji panahitaji maboresho makubwaSawa, haya tuambie point yako n ipi sasa?
Poa, wasalimie hukoMfano kwenye umaliziaji panahitaji maboresho makubwa
Hadi nimalizane na BENFICAPoa, wasalimie huko
Leo unakesha 😂😂Hadi nimalizane na BENFICA
Hao kwenye NFL hapakaliki humo.Lakin viwanja hawavitendei haki