Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,818
Safi
Wewe ambaye hujakurupuka unaangalia ya nini??FIFA wamekurupuka haya mashindano ni kuchosha tu wachezaji maana hayana tofauti na UEFA Champions league
🤣🤣Wewe ambaye hujakurupuka unaangalia ya nini??
usipolipia king'amuzi lazima utasema mashindano ni mabaya lakin natania nisije pigwa mawe kiufupi mashindano ni mazuri sanaFIFA wamekurupuka haya mashindano ni kuchosha tu wachezaji maana hayana tofauti na UEFA Champions league
Timu za Amerika kusini zimewang'ang'ania wareno (porto & benfica)game ya Benfica zimetoka red mbili
DORTMUND VS FLUMINENSE Bonge moja la game dortmund wazuri kufunga alaf fluminense wagumu kufungka hii si ya kukosaRatiba ya leo.
Saa 1:00 usiku
Fluminense Vs Borussia Dortmund
Saa 4:00 usiku
River Plate Vs Urawa reds
Saa 7:00 usiku
Ulsan Vs Mamelodi sundowns
Saa 11:00
Monterrey Vs Inter Milan
Hii Ngoma drawDORTMUND VS FLUMINENSE Bonge moja la game dortmund wazuri kufunga alaf fluminense wagumu kufungka hii si ya kukosa
Ewaaa, na muda mzuri kabisa, vipi game ya Benfica uliiangalia?DORTMUND VS FLUMINENSE Bonge moja la game dortmund wazuri kufunga alaf fluminense wagumu kufungka hii si ya kukosa
Tanesco wakafanya yao nikasubir mpaka muda wa mech lakin wapEwaaa, na muda mzuri kabisa, vipi game ya Benfica uliiangalia?
Viva BVB Leo tunaua mtuRatiba ya leo.
Saa 1:00 usiku
Fluminense Vs Borussia Dortmund
Saa 4:00 usiku
River Plate Vs Urawa reds
Saa 7:00 usiku
Ulsan Vs Mamelodi sundowns
Saa 11:00
Monterrey Vs Inter Milan
Hao sio kina Auckland.Viva BVB Leo tunaua mtu
Tupo kinyongeHumu hamna team Mamelodi 😂😂
Wanajuana hao, tamaduni zao zinafananaTimu za Amerika kusini zimewang'ang'ania wareno (porto & benfica)