2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Matchday 2 tunatoka kama hivi.

IMG-20250616-WA0000.jpg
 
Halafu yana nguvu.
Ukisikia mtu ana miaka 21.
Unaogopa
Game ya south america ina ufundi na uhuni mwingi 🤣🤣 walikuwa wanawashangaa benfica kujiangusha kwa vi foul vidogo kama vile , wazungu walaini sana bora yule black left wing
 
Back
Top Bottom