2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

😃😃😃 Hata Ulaya wanaathirika sana na muda mfano hii game ya Sasa hivi.
London ni saa tisa asubuhi! Unaangaliaje?
Football for all nadhani kule wameanza ila familia itarudi Ulaya na Saudia mambo yakikolea hili kombe litakuja kuwa kubwa sana is a matter of time
Karibu kuwaza final inakuwa Madrid vs PSG lazima macho yote yawe state
 
Back
Top Bottom