United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,234
- 6,597
ili bidada la kinageria limeumbika bwana duhuuu wakubwq mnafaidi
Nuno Mendes watu leo wanatiririka upande wake.
Hapa barcola aingie jamani psg hawajachangamka kabisa
Msimlaumu muhindi, tuliwatahadharisha kubeti kistaarabu mkatuona namna gani vipi.Daah hela yangu imeliwa mapema kabisa huyu muhindi ni nyoko
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Balaa zitoMatokeo yakibaki hivi Leo kanji ataogelea kwenye bwawa la hela🤣
Wazungu hawatumi ugoro kama wasanii wetuKwenye hii show sisikii “mikono juu” “tunaimba wote”
Daaaah🤣🤣🤣🤣Wazungu hawatumi ugoro kama wasanii wetu
Chelsea wanacheza na gap za beki 2 na 3
Wakipanda wanaacha gepu wao mpira wanausukuma humo
PSG kaingia mtegoni
Kocha wa chelsea alifanya homework yake vizuri
Ha ha ha .....karma au Sio?😃Ukiua kwa upanga utauliwa kwa upanga pia🥶
Mweee hawa psg leo mdebwedoooo
Kwenye football lolote linawezekanaMara papa jamaa wamechomoa
Muhindi siyo nyoko, shida ni kuwachukulia poa Chelsea na kubeti kwa mazoea.Daah hela yangu imeliwa mapema kabisa huyu muhindi ni nyoko
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app