Oya watu wamejipanga sana aisee 🙌Half time show
Nmefurahi sana 😂Daah hela yangu imeliwa mapema kabisa huyu muhindi ni nyoko
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Kamulilie muhindi akurudishie hata ya chai asubuhiLaki 4 yangu imekwenda na maji
Kabisa wakabisha chelsea katika fainal za makombe makubwa ni fainali moja tu 2008 uefa dhidi ya man u ndo ilishindwa kutwaa tena ilishindwa kwa penati kwahio chelsea ni mfupa mgumu kwelikweli ikifika hatua ya fainal😁😁😁Tuliwatahadharisha humu tukawapuuza.
Waombeeni PSG second half wafunge angalau 6, maana sisi tukirudi tunaanzia tulipoishia
Hapa ngoja niweke chelsea atapata goli lingineKamulilie muhindi akurudishie hata ya chai asubuhi
Vp lkn mkuu, Unaendeleaje na PSG yako 😂Matokeo yakibakia hivi janja Yamal anabeba Balon d'Or
Ah wapi bwana ni lile goli moja tuuBeki tatu ya psg ni bonge la uchochoro
Wachambuzi wa mpira wamewadanganya sana watu kuwa Chelsea tutafungwa vibaya sana 😂
Bado wanatafuna mashuduWale ng'ombe mliokuwa mnaipinga Chelsea mnaendeleaje huko zizini 😂
Pacho ndio huwa unafanya uyo jamaa atambe sanaBeki tatu ya psg ni bonge la uchochoro
Kweli, wakumbushe mkuu!Acheni kubeti kwa mazoea...
#KTBFFH
Communicating with the universe
Tutaambia nini watu
Psg kala elaPSG kuna namna wapo😀😀😀