Mkome mtoto akililia wembe mpeHawa chesea wanataka kuharibu mkeka
🤣🤣🤣🤣Na watasema tu
Numbisa mambo
Kiungo cha PSG kimeshikwa, hao akina Dembele lazma wapwayeDembele kafichwa sana uenda angeanza Barcola machachari angewapelekesha
Kafanyaje mkuuHuyu refa muhuni sana
Muda ni Kwa woteMuda bado
Anapeta faulo za waziKafanyaje mkuu
Amekuwa mendes haswaNuno Mendes watu leo wanatirika upande wake.