Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,507
- 11,740
UhakikaHapa ngoja niweke chelsea atapata goli lingine
UhakikaHapa ngoja niweke chelsea atapata goli lingine
Bwana wee kipa mkoromboko leo kawa kama oliver kahnSanchez leo🔥🔥
Ukileta michongo hiyo ya mikono juu hapo unashushwa jukwaani. Yaani ulipwe wewe alafu tuimbe wote!!??Kwenye hii show sisikii “mikono juu” “tunaimba wote”
Kafanya nini tena.Refaa mhuni sana
Bora ata ya mshangazi hawa mbususu ya kikongweWametepeta kama mbususu ya mshangazi😄
Haungalii boli?Kafanya nini tena.
Joa Pedro muhuni muhuni kweliYaani wachezaji mide wedo wa chelsea leo wanangaaa, chaloba nansanchez nao eti leo mpira wanajua
YeahHaungalii boli?
Kuna faulo zinafanywa ila anapetaYeah
Kwamba nani anabebwa leo?Kuna faulo zinafanywa ila anapeta
Hakuna anayebebwaKwamba nani anabebwa leo?
Hii sub yenyewe imechelewa half time tuu ilitakiwa ifanyikeKvaraskhelia nje
Barcola ndani