Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Pole, kuna mkaka huyo yeye huwa abet, ila akisema hii timu inashinda lazima inashinda. Leo kasema Chelsea inashinda, nikamuuliza tutatoka kweli kwa hawa PSG akasema 100%. Naona sasaLeo nimejilipua 400k