Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,303
- Thread starter
- #2,061
Chelsea wanaanza kuandamwa
Ngoja walipe gharama.PSG wameziruka Double Kick wanakuja kutingisha meza yenye Ma Hennessy kweli jamani🥹🥹
Kuchomoa 3 ni ngumu Chelsea wanapiga pira mtelezo balaaMara papa jamaa wamechomoa
Kafunga goli ngapi refaRefaa mhuni sana
PSG hana uwezo wa comeback ya goli 3.Chelsea wanaanza kuandamwa
Kuna sehemu nimesema comeback?PSG hana uwezo wa comeback ya goli 3.
Asiyefaa kafaa leoRobert Sánchez naye ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tuna keeper 😉
Hello PSG 😜
Muda utawabeba,Nna wasiwasi sn na sub za chelsea
Na muda huu huu kakuonesha balaa lake😁Mmh delap kweli??