Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,303
- Thread starter
- #1,921
Usiwakatie tamaa mzeeAh ngoja nikalale mkeka ulishachanika hapa
Usiwakatie tamaa mzeeAh ngoja nikalale mkeka ulishachanika hapa
😂😂😂Ah ngoja nikalale mkeka ulishachanika hapa
Ah wapi leo naona mpira umewakataa jamaaaUsiwakatie tamaa mzee
Ligi kuu ya Uingereza timu zinapiga mpiraDah Chelsea wanataka kutufunga midomo maana tuliwachukulia poa sana
Muda bado mkuuAh ngoja nikalale mkeka ulishachanika hapa
Dembele anajua Tu kuoteaDembele kafichwa sana uenda angeanza Barcola machachari angewapelekesha
Hapa kuna comebackAh wapi leo naona mpira umewakataa jamaaa
Subirieni la 3Watu wanaanza taratibu kuingia kwenye mfumo wa PSG
Absolutely!Gusto has turn Nuno Mendez useless.
Kabisa naona Nuno nae wamemuamuliaKiungo cha PSG kimeshikwa, hao akina Dembele lazma wapwaye
Leo ndani ntiti nje ntitiKabisa naona Nuno nae wamemuamulia