Nimerudi kuepuka adhabu,hahahaha!! Kivumah wewe, yaaani umeona u-comment hilo bila kuchangia? C'mon rudi hapa ili uepuke adhabu ya kuniquote kote huko na kuishia kuandika mistari miwili....
QUOTE=Kipipi;2975404]Hapo blue................we are in the same root Mr Rocky. When I think of it, I find so ashamed of myself.
I really need serious changes in this sector. dah...............!!!!
Kwa kweli ni jambo zuri sana kufanya hayo
Kweli nimekuwa nje ya mstari sana and I need to return back to a normal life and make a lot of changes in my life.
Nimrudie muumba wangu na nitakase njia zangu.
Sasa tungesemaje kua balance iko largely positive bila kuzicompare na resolutions jamani?kabla hamjaweka malengo mapya ya mwaka ujao..
mnayakumbuka malengo yenu ya mwaka mpya huu unaoisha?
Kwa uchache nimewazika watu wa karibu (friends and relatives) 50! Waliopatwa na ajali katika kundi hilo hilo ni zaidi ya 100 - ajali za kuwafaya waziweze kuwa kama zamani! Na majanga mengine mengi sana - Never mind my dear 2011 ndiyo hiyooooooooo inapita sasa tugange yajayo - Inshallah...
pole sana mpoleee jipange upya kama msichana unatakiwa uwe makini sana na mwili wako la sivyo utakuta umemegwa na kila mtu kiukweli nipo fb ila nilivoona ule mtandao dah yaani ukiamua kutembea na wanaume ata mia unaweza hawajali wale wanaume wa kule
ila kuwa makini mdogo wangu sema hapana
kuhusu mapenzi kila tumeachwa wengi na kuumia sana ila jua ukitulia utakuja kupata mzuri mara 1000 zaidi ya huyo mmmmh
It is not that way dear
Real I need to do that haswa kuwafundisha watoto njia bora za kumjua Mungu wakiwa wadogo
I can not do that kama na mimi mahusiano yangu yako ovyo.
I need to be real father kwa kuonyesha mfano kwa wanangu.
Na kuonyesha mfano ni kuwa mstari wa mbele katika hilo
Hapo blue................we are in the same route Mr Rocky. When I think of it, I find so ashamed of myself.
I really need serious changes in this sector. dah...............!!!!
.. I count myself blessed ... you agreed you willnt mind and I will keep the promise ? Yes of course!
AND
Before its the end of the year ... Want to remind you on one thing ..that .. tells me now you r really matured on the TOUGH LOVE ..the foundation of the PMs!
.. Scented cloves with Love ... Hah hah ..hah.. That is AshaDii .. I dont think I will forget this in near future ...
I hope you remember this line..!
"... I have my fighting gloves on (Worn and scented with love) guaranteed to give you bitter sweet blows at FULL CAPACITY...!"
Real Tough Love eh? ... With full force.. total impact ... Lol ... and why should i forget this!? Lolz
Get pregnant tena! Anyway!!!!
Huu mwaka nikatoe sadaka ya shukrani ...
Mwaka wa maamuzi magumu sana huu kwangu! Nashukuru nimepata ujasiri wa kuyafanya!
Namshukuru Mungu!
Mengi niliyopanga hayakwenda kama nilivyotaraji!
Nimerudi kuepuka adhabu,
Kiukweli Nimshukuru Mnyaaazi Mungu, Mwingi wa Rehema na Neema, kwa namna ambavyo amenipigania mja wake katika mwaka huu 2011, kwangu mimi Uzima ndo jambo la Heri. Na kwakweli nimejitahidi 2011 kwenda nyumba ya Ibada kumshukuru Maulana.
Kwa vile mwaka huu 2011 haujakwisha, Tuombe uzima, come January 2012 ndio nitakuja na mipango mikakati ya 2012.
kabla hamjaweka malengo mapya ya mwaka ujao..
mnayakumbuka malengo yenu ya mwaka mpya huu unaoisha?
Malengo yangu niliyopanga 2010 for year 2011 yametimia; but ni malengo ambayo yamenipa challenges ambazo sijawahi pata before. Ni kama nimepata kitu kimoja na kunyang'anywa kingine; kukaa mbali na familia (my lovely kids and my hubby); too much of a sacrifice.:A S-coffee:
Malengo yangu ya mwakani yapo in writing hence nina uhakika kwa asilimia kubwa nitayatimiza; I have to, anyway.
Otherwise nakubali kuwa ni vizuri kupanga mipango ya maisha; tena ikibidi put it in writing ili ujikosoe kila ifikapo mwisho wa mwaka; kwani time is always not on our side.
Sometimes I wish I could be 10 years younger!
:A S-coffee:
Haaa haaa,Taratibu lakini mdogo wangu.... You know how I love him na sipendi mtu stealing the Thunder.....lol
Haaa haaa,
Worry not Big sisy,
Mie sio mharibifu kbs,
Sema kuna dili nataka niongee naye,
Kuna ka mchuchu nakazimikia pale jiran na kwetu nataka akachunguze km kanafaa niifunguke lol!
Asante sana Sisy,Good gal.... Nimefurahi saana. Na hapo hasa ndo mahala pake, umechagua hasa mtu ambae anafaa hapo....lol