VS nilijua kwa kuwa mwaka ndo unakatika at least ungekuwa ushayaweka tayariOOOPS ngoja na mimi nikae niandike malengo a mwakani...
Hata hivyo bado una nafasi kubwa
VS nilijua kwa kuwa mwaka ndo unakatika at least ungekuwa ushayaweka tayariOOOPS ngoja na mimi nikae niandike malengo a mwakani...
OOOPS ngoja na mimi nikae niandike malengo a mwakani...
Thanks a lot my lovely wifi..... Najivunia sana kupata wifi kama wewe.... Mwenyezi mungu akulinde daima....
Asante sana Big sisy,My kid sis, furaha kwangu kua umefika na kupita hapa.... Huu uzi hakuna na kusema umechelewa as you can see for i know ni wengi bado hawajapita na twahitaji kujua kama fellow members wao ilikaa vipi au vipi Cantar?
Nimefurahi kusoma mafanikio yako... Yoote ni ya Msingi na yaonesha ni binti ambae wajielewa/wajitambua na waelewa what you want in Life. Hio Mipango yako Mwenyezi Mungu azidi bariki (for naona yupo pamoja na wewe for vyote vyaonekana vyaenda ipasavo).
Hio mipango yako ya kua na Mungu your Big Shem kaniambia (eti kagundua baada ya wewe kumpa PW...lol). Endelea hivo hivo, ila tu naomba usiwe katika lile kundi lililo kubuhu mpaka wasahau kuishi kukoje..... (sina nia mbaya na hio ni on a serious note)
Alafu sijamuona Feis book... Yukwap?
Tena wewe usipofanya fasta, ntakupandia Dar Express nikufuate hukohuko.......Babu malengo mazuri sana na hongera sana sana Mungu akujalie uweze kuyafanikisha.
Hilo la kuachana na mpango wa kando ni la muhimu sana maana litakufanya ufikirie nyumba kubwa zaidi
Na mimi naomba sana sana tufanikiwe kuonana uso kwa uso mwakani.
Shem huyu mtu anahitaji maombi ya Mashehe, mapadre, wachungaji na maaskofu ndo angalau anaweza 'kufikiria' kuacha hiyo makituShem.... Hongera kwa yooote hayo na Mwenyezi Mungu afanikishe kwa Rehema zake... Ila hapo naomba umshawishi na Sweetie... Labda itasaidia atabadilisha na ile avatar maana naona yamuongezea ulevi huyu bwana! lol
Mwaka huu ulikua mbaya kwangu na kheri uishe kabuisa! Nimeharibiwa maisha na utu wangu face book na sina hamu mana nimempoteza mpenzi wangu hali bado nampenda saana. Mipango yangu 2012 ni kua makini na marafiki wachache. Nimeachana na rafiki zangu woote kwani hakuna aliekuwepo kwa ajili yangu.
Tena wewe usipofanya fasta, ntakupandia Dar Express nikufuate hukohuko.......
Shem huyu mtu anahitaji maombi ya Mashehe, mapadre, wachungaji na maaskofu ndo angalau anaweza 'kufikiria' kuacha hiyo makitu
Asante sana Big sisy,
Si unajua mtu na shemejiye lol!
Sipendi kuwa kwa hilo kundi naamin na mungu atanisaidia nisifike huko,
Kwakweli leo Fais sijamuona kbs sijui yuko pande za wapi,hope atakuwa hajaiona hii kbs.
Tena wewe usipofanya fasta, ntakupandia Dar Express nikufuate hukohuko.......
Shem huyu mtu anahitaji maombi ya Mashehe, mapadre, wachungaji na maaskofu ndo angalau anaweza 'kufikiria' kuacha hiyo makitu
Done........!Nitakuomba tupange mikakati.... Noamba nifitishe katika your busy schedule....
Hapa napigwa changa la Macho! lol
AD mwakani naomba nianze kabisa upya mahusiano yangu na Mungu. Kama kuna nilipoteleza mwakani naomba sana Mungu anirudishe kwenye mstari
Naamini nitaweza na naomba Mungu sana anijalie hilo
hahahaha..... Missed you pms AJ....LOL... Pages of them! Did i just say that? lol
Thanks for the Acknowledgement AJ,.... But i wont mind on one condition! Nawe pia utoe list yako; kwa muktadha huo you are free to comment lolote mradi vigezo na masharti ya JF yazingatiwe.....lol