Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Haaaa haaa,namshukuru mungu kwa nifanya mwenye furaha mpaka mda huu,Lazima ucheke mdogo wangu, i love it kama una furaha.... Zingatia tu lakini nilokuambia na nitakuongeza darasa, wanaume wa maana na walo worth it wamekua wachache hivo ukimpata..... (uje uchukue darasa maana hapa your Big shem asije jua siri ya kunipenda ni nini...lol)
Usijali ww tena,unahusika sana tuombe uzima tu,
Hiyo ilmu unanipa tukiwa peke yetu Big shem asijue wala kusikia lol!