"2011" – What a year it has been!!! KARIBU 2012....

mi nijumuishe upande wangu kwa kusema'Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu' ZAB 23. Asante lov kutukumbusha. be back soon kwa azimio la mimba. amen

Aww' Love naona leo tupo biblical kiaina....lol....

Sweetie hapo colored "I know" Nasubri tu mongozo.....:love:
 
Asante sana Sisy,
Nililijua hilo ndio maana nimetafuta uhakika kwako kiana na sasa niko full uhakika lol,
Big UP kwa my Big Shem Kaizer,mpe tano kwa niaba,
Sisy ww tuandalie mahanjumati tu kwan hapo nishaanza kujitangazia ushindi.

Kwa hio ina maana mie hunidokezi lolote mpaka shemejio aje aniambie? lol (sijui hii system mmeitoa wapi) for mimi ndo ilitakiwa nikukabidhi baaada ya wewe kunidokeza ndo nimdokeze....

Kuhusu maanjumati... Wori not! nitaandaa your favourite.....lol
 
Haaa haaa!
Umesomeka sisy,
Nilikuwa sijui utaratibu,kumbe nilitaka kuchemka!
Nitaanzaia kwako then ww utalisongesha mbele kwa mbele mpaka siku ya kupiga vigelegele lol!
 
Mungu aeendelee kuwaongoza na kuwalinda ili mfanikiwe malengo yote mliyopanga 2011
Kikubwa zaidi mungu aendelee kutupa afya njema

FL hapo colored ndio kikubwa Mpenzi..... Alafu nakutafta Mpenzi.... Naomba on behalf of the ladies utulendee thread ya urembo kwa ajili ya wadada.... (if you won't mind) tupeane tips maana naona huku kitaa twachemka kweli dear.... Nakumbuka uliwahi toa ile ya tips za dressing hivo ukipata nafasi dear... Wadau wapo wakutosha i think....
 
Haaa haaa!
Umesomeka sisy,
Nilikuwa sijui utaratibu,kumbe nilitaka kuchemka!
Nitaanzaia kwako then ww utalisongesha mbele kwa mbele mpaka siku ya kupiga vigelegele lol!

Hio yooote tokana na vigezo kua your big shem ni mwanaume, tena wa kweli, na nyie wadogo zangu mmejaliwa urembo hasa! lol... Sio kwamba siwaaamini... No! Ila to the wheels of nature saa ingine hazina adabu, kuepusha hilo nakua in the mode ya "Abiria chunga mzigo wako" lol...

Hivo uje kwanza kwangu wakati nawaandalia chakuka kule jikoni unipe co. unidoleze then mengine yatafuata.....:hungry:
 
Haaa haaa,nimecheka kwa laudi spika sisy,
Dah!hiyo mode nimeipenda itabidi unipe darasa nisije nikaibiwa bure!
Endelea tu kutuamin na sie tutakusaidia ulinzi kwa kumkeep shem busy tukiwa tunatunza heshima,
Usijali jmosi nitakuja tuongee ili mchakato uanze mapema mwakan!
 
Ubarikiwe AshaDii na umalize mwaka salama.
5-5.jpg
 
Nilitamani kufanya mambo mawili makubwa kwa 2011:
a. kuwa na usafiri
b.kujenga kwenye site yangu iko huko kibaha.

lakini namshukuru MUNGU
a. tayari
b. sikuweza kufanya, but MUNGU akipenda ndiyo lengo langu kubwa kwa 2012.

stay blessed all jf comrades.
 
Mwaka ujao nimepanga kuchukuwa mayatima wawili nihishi nao... Huyu ndio mpango wangu mkubwa sababu naona maisha ni yale yale hakuna jipya..

Tawatafuta wenye umri mdogo ili niweze kuwasomesha natumai mungu atanisaidia
 
Haaa haaa,nimecheka kwa laudi spika sisy,
Dah!hiyo mode nimeipenda itabidi unipe darasa nisije nikaibiwa bure!
Endelea tu kutuamin na sie tutakusaidia ulinzi kwa kumkeep shem busy tukiwa tunatunza heshima,
Usijali jmosi nitakuja tuongee ili mchakato uanze mapema mwakan!

Lazima ucheke mdogo wangu, i love it kama una furaha.... Zingatia tu lakini nilokuambia na nitakuongeza darasa, wanaume wa maana na walo worth it wamekua wachache hivo ukimpata..... (uje uchukue darasa maana hapa your Big shem asije jua siri ya kunipenda ni nini...lol)
 
Nilitamani kufanya mambo mawili makubwa kwa 2011:
a. kuwa na usafiri
b.kujenga kwenye site yangu iko huko kibaha.

lakini namshukuru MUNGU
a. tayari
b. sikuweza kufanya, but MUNGU akipenda ndiyo lengo langu kubwa kwa 2012.

stay blessed all jf comrades.

Kwanza niseme nimefurahi hujachangia kwa kusema tu "Nimepita hapa" lol

HONGERA auntie.... Walau umetimiza nusu ya malengo yako ya mwaka.... Ukichanganya na mambo mazuri yalo kutokea nadhani 2011 qualifies to have been a good year for you.... Na naamini kama you had such mafanikio.... Hayo yalobaki 2012 Mungu atajaalia na utafanikiwa... Nakutakia kila la kheri....

Auntie niliku- MISS.... Mzima wewe?
 
Mwaka ujao nimepanga kuchukuwa mayatima wawili nihishi nao... Huyu ndio mpango wangu mkubwa sababu naona maisha ni yale yale hakuna jipya..

Tawatafuta wenye umri mdogo ili niweze kuwasomesha natumai mungu atanisaidia

Dah! Ritz..... I am IMPRESSED.... Sina maneno na narudi tena pm nawewe...... Mwenyezi Mungu akupe Uzima na Maisha MAREFU.
 
Kwanza niseme nimefurahi hujachangia kwa kusema tu "Nimepita hapa" lol

HONGERA auntie.... Walau umetimiza nusu ya malengo yako ya mwaka.... Ukichanganya na mambo mazuri yalo kutokea nadhani 2011 qualifies to have been a good year for you.... Na naamini kama you had such mafanikio.... Hayo yalobaki 2012 Mungu atajaalia na utafanikiwa... Nakutakia kila la kheri....

Auntie niliku- MISS.... Mzima wewe?

Ukisomeka huwa sipiti hapa, lazima naweka kituo,
Nakushuru sana kwa kunitia moyo,
MUNGU alinipigania sana kwa 2011
naamini kuwa atanipigania zaidi na zaidi 2012.

Sikuwepo hapa mjini, bibi yako alikuwa anaumwa sana huko kijijini
ikalazimu niende kuuguza walau kidogo, nilimwacha kwenye hali nzuri kiasi.

I hope na wewe wakati huo haukuwepo pia kwenye jamvi, lakini kwa yote
najua MUNGU ni mwema sana kwako. Naendelea kukuombea mafanikio zaidi kwa 2012.
 
Auntie in other words ina maana nimesomeka eeh? lol THANK YOU.

Nimefurahia mipango yako pia na nakuombea Mungu ajaalie yale yooote umepanga... Na pia nishukuru ka mambi yooote umeniombea pia.

Upande wa bibi pole... Nafurahi kusikia sasa anaendelea vizuri? Ni mgonjwa ama ni yale magonjwa yaloambatana na uzee?

Ni kweli sikuwepo pia, mambo pia yalinibana mno, ila namshukuru Mungu sasa am good - na hopefully Maanan atatulinda mpaka ukiongoni na tuuone mwaka 2012 tukiwa na afya bora.

Again nashukuru saana kwa dua yako... Mungu atubariki woote.
 
Mwaka ujao nimepanga kuchukuwa mayatima wawili nihishi nao... Huyu ndio mpango wangu mkubwa sababu naona maisha ni yale yale hakuna jipya..

Tawatafuta wenye umri mdogo ili niweze kuwasomesha natumai mungu atanisaidia
ritz kweli uyasemayo?
 
Auntie in other words ina maana nimesomeka eeh? lol THANK YOU.

Nimefurahia mipango yako pia na nakuombea Mungu ajaalie yale yooote umepanga... Na pia nishukuru ka mambi yooote umeniombea pia.

Upande wa bibi pole... Nafurahi kusikia sasa anaendelea vizuri? Ni mgonjwa ama ni yale magonjwa yaloambatana na uzee?

Ni kweli sikuwepo pia, mambo pia yalinibana mno, ila namshukuru Mungu sasa am good - na hopefully Maanan atatulinda mpaka ukiongoni na tuuone mwaka 2012 tukiwa na afya bora.

Again nashukuru saana kwa dua yako... Mungu atubariki woote.

Unasomeka tena una akili sana (kwa kiukweli kabisa)

Bibi yako ni mtu mzima anakaribia mwaka wa 90 sasa,
ila aliugua kidogo nikampelekea yale maushauri na mikorogo ya mzizimkavu,
alipata nafuu kubwa sana. hivyo tusiache kupitia jf dr. ni nzuri sana.

kila la kheri na MUNGU akubariki.
 
ritz kweli uyasemayo?

Smile,
Kwa nini uniamini ndugu yangu au ule utukutu wa kwenye jukwaa la siasa ndio unakufanya ukose imani na mimi..

Usifananishe mambo politics kule poke tu..
 
Back
Top Bottom