"2011" – What a year it has been!!! KARIBU 2012....

"2011" – What a year it has been!!! KARIBU 2012....

hahahaha!! Kivumah wewe, yaaani umeona u-comment hilo bila kuchangia? C'mon rudi hapa ili uepuke adhabu ya kuniquote kote huko na kuishia kuandika mistari miwili....
Nimerudi kuepuka adhabu,
Kiukweli Nimshukuru Mnyaaazi Mungu, Mwingi wa Rehema na Neema, kwa namna ambavyo amenipigania mja wake katika mwaka huu 2011, kwangu mimi Uzima ndo jambo la Heri. Na kwakweli nimejitahidi 2011 kwenda nyumba ya Ibada kumshukuru Maulana.
Kwa vile mwaka huu 2011 haujakwisha, Tuombe uzima, come January 2012 ndio nitakuja na mipango mikakati ya 2012.
 
kabla hamjaweka malengo mapya ya mwaka ujao..
mnayakumbuka malengo yenu ya mwaka mpya huu unaoisha?
 
QUOTE=Kipipi;2975404]Hapo blue................we are in the same root Mr Rocky. When I think of it, I find so ashamed of myself.
I really need serious changes in this sector. dah...............!!!!

Kwa kweli ni jambo zuri sana kufanya hayo
Kweli nimekuwa nje ya mstari sana and I need to return back to a normal life and make a lot of changes in my life.
Nimrudie muumba wangu na nitakase njia zangu.[/QUOTE]

Kusema kweli hiyo ndo sector ambayo nitaipa kipaumbele kuliko zote coz naamini ndo itakayoamsha maisha yangu na kunitia nguvu hata katika masuala mengine. Mwenyezi Mungu atusaidie......
 
Kwa kweli ni jambo zuri sana kufanya hayo
Kweli nimekuwa nje ya mstari sana and I need to return back to a normal life and make a lot of changes in my life.
Nimrudie muumba wangu na nitakase njia zangu.

Kusema kweli hiyo ndo sector ambayo nitaipa kipaumbele kuliko zote coz naamini ndo itakayoamsha maisha yangu na kunitia nguvu hata katika masuala mengine. Mwenyezi Mungu atusaidie......[/QUOTE]

Kabisa na nashukuru kwa supoort yako. Asante sana sana.
 
Malengo yangu niliyopanga 2010 for year 2011 yametimia; but ni malengo ambayo yamenipa challenges ambazo sijawahi pata before. Ni kama nimepata kitu kimoja na kunyang'anywa kingine; kukaa mbali na familia (my lovely kids and my hubby); too much of a sacrifice.:A S-coffee:

Malengo yangu ya mwakani yapo in writing hence nina uhakika kwa asilimia kubwa nitayatimiza; I have to, anyway.

Otherwise nakubali kuwa ni vizuri kupanga mipango ya maisha; tena ikibidi put it in writing ili ujikosoe kila ifikapo mwisho wa mwaka; kwani time is always not on our side.

Sometimes I wish I could be 10 years younger!
:A S-coffee:
 
Nimekumbana na changamoto nyingi lakini nashukuru maana mafanikio yamekuwa ni makubwa zaidi. Mungu awasaidie nyote mtimize malengo yenu ya 2012. Rekebisheni mlipokosea 2011 na mshukuru mungu kwa machache mliyoweza fanikiwa.
 
Kwa uchache nimewazika watu wa karibu (friends and relatives) 50! Waliopatwa na ajali katika kundi hilo hilo ni zaidi ya 100 - ajali za kuwafaya waziweze kuwa kama zamani! Na majanga mengine mengi sana - Never mind my dear 2011 ndiyo hiyooooooooo inapita sasa tugange yajayo - Inshallah...

No wonder.... Pole saana Baba_Enock na machungu na kupoteza wako wa karibu kiasi hicho mpaka ngumu kuamini..... Watu 50? it means wewe ni mtu wa watu saana na ni wengi wawafahamu, kweli kabisa simfahamu mtu yeyote ambae amewahi poteza more than 50 people ndani ya mwaka let alone 20. Nakutakia Kheri, Na nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akupe Moyo wa Ujasiri, wa Imani na Amani pia na nguvu. Best of LUCK katika mwaka 2012.... Uweze walau poza maumivu ya mwaka huu 2011 ambayo ni dhahiri ni one of the worst years in your life..... Pamoja Saaana.

pole sana mpoleee jipange upya kama msichana unatakiwa uwe makini sana na mwili wako la sivyo utakuta umemegwa na kila mtu kiukweli nipo fb ila nilivoona ule mtandao dah yaani ukiamua kutembea na wanaume ata mia unaweza hawajali wale wanaume wa kule
ila kuwa makini mdogo wangu sema hapana
kuhusu mapenzi kila tumeachwa wengi na kuumia sana ila jua ukitulia utakuja kupata mzuri mara 1000 zaidi ya huyo mmmmh

Kid sis.... Nimefurahi haya maneno umempa Mpole... Ni ushauri Mzuri..... Proud of you.
 
It is not that way dear
Real I need to do that haswa kuwafundisha watoto njia bora za kumjua Mungu wakiwa wadogo
I can not do that kama na mimi mahusiano yangu yako ovyo.
I need to be real father kwa kuonyesha mfano kwa wanangu.
Na kuonyesha mfano ni kuwa mstari wa mbele katika hilo

R' nipe kwanza nafasi nitafakari kama kweli ama uongo....lol... It is too good to be true aisse! lol
 
Hapo blue................we are in the same route Mr Rocky. When I think of it, I find so ashamed of myself.
I really need serious changes in this sector. dah...............!!!!

Alafu Kipipi hebu bana open up acha short cuts hapa.....lol
 
.. I count myself blessed ... you agreed you willnt mind and I will keep the promise ? Yes of course!

AND

Before its the end of the year ... Want to remind you on one thing ..that .. tells me now you r really matured on the TOUGH LOVE ..the foundation of the PMs!

.. Scented cloves with Love ... Hah hah ..hah.. That is AshaDii .. I dont think I will forget this in near future ...

I hope you remember this line..!

"... I have my fighting gloves on (Worn and scented with love) guaranteed to give you bitter sweet blows at FULL CAPACITY...!"

Real Tough Love eh? ... With full force.. total impact ... Lol ... and why should i forget this!? Lolz

OMG!!!! Sikujua kua nawe ulisoma ile post.... Come to think of it...... I was so ANGRY Like neva before..... Leo if i was to write i would have wrote something else.... I think sikumtendea haki, ni kama nimemfunga mdomo instead of understanding him/her.... Siku ile nilisaha "Never to get Angry, Never to make a Threat and Reason with him/her" some how i regret.....
 
Mwaka wa maamuzi magumu sana huu kwangu! Nashukuru nimepata ujasiri wa kuyafanya!

Namshukuru Mungu!

Mengi niliyopanga hayakwenda kama nilivyotaraji!

Hongera kwa yoote ulofanikiwa Maskin_Jeuri, Hopefully 2012 will treat you well and good. BEST OF LUCK Mkuu katika Mipango yako yooote. Na kwa nguvu na Maombi kwa Mwenyezi Mungu I hope 2012 ipoze ya 2011.... Pamoja Saana.
 
Nimerudi kuepuka adhabu,
Kiukweli Nimshukuru Mnyaaazi Mungu, Mwingi wa Rehema na Neema, kwa namna ambavyo amenipigania mja wake katika mwaka huu 2011, kwangu mimi Uzima ndo jambo la Heri. Na kwakweli nimejitahidi 2011 kwenda nyumba ya Ibada kumshukuru Maulana.
Kwa vile mwaka huu 2011 haujakwisha, Tuombe uzima, come January 2012 ndio nitakuja na mipango mikakati ya 2012.

Umeongea ya msingi saana hapo colored, hivo umesamehewa madhambi yooote....lol hata hivo maisha hayaendi hivo.... Kuishi ni majaaliwa Kivumah, hua tunapanga the future thou we don't know our end. Na mipango miiingi hasa ya kimaendeleo huanza leo for utekelezaji wake mara nyingi ni in the long run, kwamba kama utapanga January then you plan the end result of results mbali zaidi(saa ingine kuliko hata huo huo mwaka) Enways.... Best of Luck! Na tumuombe mwenyezi Mungu atuwezeshe na kutubariki tuona na kumaliza tena 2012.... Pamoja Saana.
 
kabla hamjaweka malengo mapya ya mwaka ujao..
mnayakumbuka malengo yenu ya mwaka mpya huu unaoisha?

Hili ni swala la msingi saana kujiuliza.... Kwamba yale yoote ambayo mtu hupanga, hua yafanikiwa kwa kiasi gani.... Boss you have not yet done justice to the question i have imposed.... Say something Pal....
 
Malengo yangu niliyopanga 2010 for year 2011 yametimia; but ni malengo ambayo yamenipa challenges ambazo sijawahi pata before. Ni kama nimepata kitu kimoja na kunyang'anywa kingine; kukaa mbali na familia (my lovely kids and my hubby); too much of a sacrifice.:A S-coffee:

Malengo yangu ya mwakani yapo in writing hence nina uhakika kwa asilimia kubwa nitayatimiza; I have to, anyway.

Otherwise nakubali kuwa ni vizuri kupanga mipango ya maisha; tena ikibidi put it in writing ili ujikosoe kila ifikapo mwisho wa mwaka; kwani time is always not on our side.

Sometimes I wish I could be 10 years younger!
:A S-coffee:

Well Nyumba Kubwa from your reputation at least hapa jamvini kweli kabisa sishangai kua yoote ulopanga yamefanikiwa... Waonekana (at least to me) kua you are such an organized lady ambae daima kila kitu kipo on place na within time. HONGERA dear kwa kuweza yatimiza hayo.... Mungu Ashukuriwe, na pia Nakuombea kua 2012 iwe zaidi ya 2011 ambao umeonekana ni kwaka bora kwako. (na hivi mipango ipo in writting - naamini mpaka umesaini na ku seal kabisa....lol)

Umenifurahisha..... Sometimes you wish to be ten years younger, Sometimes I do too.....
 
Taratibu lakini mdogo wangu.... You know how I love him na sipendi mtu stealing the Thunder.....lol
Haaa haaa,
Worry not Big sisy,
Mie sio mharibifu kbs,
Sema kuna dili nataka niongee naye,
Kuna ka mchuchu nakazimikia pale jiran na kwetu nataka akachunguze km kanafaa niifunguke lol!
 
Haaa haaa,
Worry not Big sisy,
Mie sio mharibifu kbs,
Sema kuna dili nataka niongee naye,
Kuna ka mchuchu nakazimikia pale jiran na kwetu nataka akachunguze km kanafaa niifunguke lol!

Good gal.... Nimefurahi saana. Na hapo hasa ndo mahala pake, umechagua hasa mtu ambae anafaa hapo....lol
 
mi nijumuishe upande wangu kwa kusema'Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu' ZAB 23. Asante lov kutukumbusha. be back soon kwa azimio la mimba. amen
 
Good gal.... Nimefurahi saana. Na hapo hasa ndo mahala pake, umechagua hasa mtu ambae anafaa hapo....lol
Asante sana Sisy,
Nililijua hilo ndio maana nimetafuta uhakika kwako kiana na sasa niko full uhakika lol,
Big UP kwa my Big Shem Kaizer,mpe tano kwa niaba,
Sisy ww tuandalie mahanjumati tu kwan hapo nishaanza kujitangazia ushindi.
 
Back
Top Bottom