pal, it has been so long ... and i shuld 1st admit kwamba kama usingenichomoa kule then nisingejua kama kuna huu uzi muhimu huku. MMU has been full of shit nowdays, sijui hata imekuwaje ... utoto mwingi sana na kunapoteza mvuto! hope moderators watarekebisha hilo!
back to topic:
1. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwanza kwa afya njema, na pili kwa yale aliyonijalia this year. The year 2011, was full of challenges lkn nilifanikiwa ku-accomplish machache kama sio mengi.
2. Malengo ya mwakani:
- kuhakikisha naendelea kuwa baba mwema, mwenye heshima, uvumilivu, na upendo wa dhati kwa familia yangu hasa mke wangu na binti yangu.
- kuanza project nyingine 2 na pia kumalizia hii 1 ambayo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu, still inalazimu ku cross over to 2012
- kuwekeza zaidi katika ujasiria mali (kwa mapana yake, hii itaingiliana na hiyo '2012 crossing-over project 1')
- kuendelea kuwa muumini mzuri, kufanya maombi zaidi na kushiriki swala/ibada zaidi (kunenepesha roho kiimani zaidi).
my 0.02,
mdbd