"2011" – What a year it has been!!! KARIBU 2012....

"2011" – What a year it has been!!! KARIBU 2012....

Mkakati wangu kwa mwaka ujao:

Kukutana uso kwa uso na baadhi ya members naowahusudu humu JF
Kuongeza vi-rooms viwili kwenye banda langu
Kuongeza idadi ya kuku wa kienyeji na vimbuzi kwenye 'ranchi' yangu Mapinga kule
Kumfundisha Matesha wangu hesabu mpaka zimkae kama masomo mengine yalivyomkaa
Kutoka na mai waifu wangu kutembelea Mbuga za wanyama (watoto watanisamehe)
Kupunguza kunywa bia kwa wingi
Kuongeza mazoezi mpaka kifua kiwe kama cha Vandame
Kuongeza juhudi kazini ili nipandishwe cheo
Kurudi tena darasani kuongeza visetifiketi
Kumfundisha mai waifu driving ili awe draiva wangu.
Kuachana na mpango wa kando na kuweka kambi kwa mai waifui
Kuanza kwenda kanisani, siyo kusubiria msiba ndo nikanyage kanisani kwenye ibada za mazishi

Damn mbona malengo mengi namna hii....Please God help me!
 
Honestly I thanks the almighty God for this year, as he managed me through marriage, Master's degree, exposure and above all I am close to my Jesus .
Howver, Idid not manage to finish up my house project.

Next year 2012.
Complete my project ( house)
Sitting for CSP Exams
Be close to my family
 
mkakati wangu kwa mwaka ujao:

Kukutana uso kwa uso na baadhi ya members naowahusudu humu jf-especialy smile
kuongeza vi-rooms viwili kwenye banda langu-safi
kuongeza idadi ya kuku wa kienyeji na vimbuzi kwenye 'ranchi' yangu mapinga kule-safi
kumfundisha matesha wangu hesabu mpaka zimkae kama masomo mengine yalivyomkaa-safi good
kutoka na mai waifu wangu kutembelea mbuga za wanyama (watoto watanisamehe)-safi
kupunguza kunywa bia kwa wingi-safi
kuongeza mazoezi mpaka kifua kiwe kama cha vandame-mmmmh
kuongeza juhudi kazini ili nipandishwe cheo-safi
kurudi tena darasani kuongeza visetifiketi-safi
kumfundisha mai waifu driving ili awe draiva wangu.-safi
kuachana na mpango wa kando na kuweka kambi kwa mai waifui-mmmh
kuanza kwenda kanisani, siyo kusubiria msiba ndo nikanyage kanisani kwenye ibada za mazishi-safi

damn mbona malengo mengi namna hii....please god help me!
mungu akuwezeshe kadri ya maombi yako mkuu
 
dah ndo wangapi hao mkuu?

Smile, Hao ndio wengi niliosema. Pia kumbuka wa kwanza alipatikana mwaka huo huo yaani miezi michache baada ya Ndoa hivyo hata sasa namwogopa nahisi Kama alishuhudia ndoa..Pia sijasema Kama hapo Kati walipatikana twins.. Ila namshukuru Mungu home pamechangamka huku wazazi wao wakichanganya akili kupiga hesabu za maisha Yao ya baadaye...Very interesting challenge..
 
Asante Big Sisy,japo nimechelewa kuiona hii but acha niendeleze hapa hapa,
Mie namshukuru sana tena sana mungu wangu kwan amenifanikisha hata yale nilikuwa sijayapanga
MAFANIKIO
*Kwanza namshukuru mungu kwanipa afya njema kwa mwaka mzima mm na Wazazi na ndugu zangu,
*Baada ya kumaliza chuo mwaka jana mapema january mwaka huu mungu akanipatia kibarua,
*Nimeweza kujiunga JF na kupata marafiki wengi akiwamo ww,na wengine kibao kiasi kwamba nimeshakuwa mlevi wa JF,
*Nimefanikiwa kuhama chumba kimoja cha kulala nilichokuwa naishi wakati nasoma chuo na sasa ni viwili,
*Ni mwaka ambao nimekuwa karibu sana na mungu wangu na ndio maana nimeona akiniinua ktk kila jambo,
*Ni mwaka unaoisha na kuniacha mwenye furaha na amani tele moyon
MIPANGO 2012
*Kuwa karibu na mungu zaidi,
*Kutafuta kazi nzuri na yenye kipato zaidi na niliyonayo sasa ili kukamilisha mipango yangu mingine,
*kujiendeleza kielimu kabla ya kuwa na majukumu ya kifamilia(kuolewa,kuzaa na kutunza familia)
*Kumchukua jukumu la kumsomesha mdogo wetu wa mwisho 4m five na six kuwasaidia wazazi wangu,
*Na mengine mengi ambayo nahisi ni magumu ila ikawa ni mpango wa mungu kunifanikisha.
 
Inauma Ashadii asikwambie mtu, ilifika mahali mie pia nikajikatia tamaa, achana na ajali za barabarani mpendwa, huezi amini wote wamekufa kwa ajali kasoro mmoja ambae, yeye aliugua kama siku 3 tu akaondoka.( mwezi oct, & nov 2011 sitaisahau aisee)... Ila ndio hivyo tena kazi ya mungu... Tuliwapenda ila mungu kawapenda zaidi. Wapumzike kwa amani Amina!

Ahsante sana mpendwa.... Nashukuru pia kwa maombi... Nakuombea na wewe mwenyezi mungu akujalie afya njema kwa mwaka ujao ili hatimae ufanikishe malengo yote uliojiwekea.... Barikiwa sana wifi yangu mpenzi...

AMEEEN.... to the Colored....Dearest naona ulipata pigo saana. Na sasa hivi sijui kwanini ajali zimeongezeka hivo, na vifo hivi vya ajali acha kabisa. Narudia.... Pole saana na Mungu akutie Amani na Amani, Usije tu kufuru maana yoote ni mipango yake Mola.

Ubarikiwe pia Wifi yangu mpenzi....
 
Mwaka huu ulikua mbaya kwangu na kheri uishe kabuisa! Nimeharibiwa maisha na utu wangu face book na sina hamu mana nimempoteza mpenzi wangu hali bado nampenda saana. Mipango yangu 2012 ni kua makini na marafiki wachache. Nimeachana na rafiki zangu woote kwani hakuna aliekuwepo kwa ajili yangu.
 
mwishowe atakosa wote. Mjini hapa mimi nimeacha misala kibao mtaani watu walikuwa wananizingua mimi nikaamua kusepa zangu sasa wanarudi nafasi imejaaa
mjini bwana watu kibaaaaaaaaaao mwambie

Hataki kuamini aliye nae anaweza kuwa mke bora yeye bado macho juu tuu
Ila kwa hapa lazima aipate kila siku utakuwa wimbo
Aise tusije chakachua siredi ya watu bure
 
Mkakati wangu kwa mwaka ujao:

Kukutana uso kwa uso na baadhi ya members naowahusudu humu JF
Kuongeza vi-rooms viwili kwenye banda langu
Kuongeza idadi ya kuku wa kienyeji na vimbuzi kwenye 'ranchi' yangu Mapinga kule
Kumfundisha Matesha wangu hesabu mpaka zimkae kama masomo mengine yalivyomkaa
Kutoka na mai waifu wangu kutembelea Mbuga za wanyama (watoto watanisamehe)
Kupunguza kunywa bia kwa wingi
Kuongeza mazoezi mpaka kifua kiwe kama cha Vandame
Kuongeza juhudi kazini ili nipandishwe cheo
Kurudi tena darasani kuongeza visetifiketi
Kumfundisha mai waifu driving ili awe draiva wangu.
Kuachana na mpango wa kando na kuweka kambi kwa mai waifui
Kuanza kwenda kanisani, siyo kusubiria msiba ndo nikanyage kanisani kwenye ibada za mazishi

Damn mbona malengo mengi namna hii....Please God help me!

Babu malengo mazuri sana na hongera sana sana Mungu akujalie uweze kuyafanikisha.
Hilo la kuachana na mpango wa kando ni la muhimu sana maana litakufanya ufikirie nyumba kubwa zaidi
Na mimi naomba sana sana tufanikiwe kuonana uso kwa uso mwakani.
 
Baba_Enock.... Hii post is SO pessimitic and gloomy! Naomba walau urudi na U-justify why.... Dah!

Kwa uchache nimewazika watu wa karibu (friends and relatives) 50! Waliopatwa na ajali katika kundi hilo hilo ni zaidi ya 100 - ajali za kuwafaya waziweze kuwa kama zamani! Na majanga mengine mengi sana - Never mind my dear 2011 ndiyo hiyooooooooo inapita sasa tugange yajayo - Inshallah...
 
Mkakati wangu kwa mwaka ujao:

Kukutana uso kwa uso na baadhi ya members naowahusudu humu JF
Kuongeza vi-rooms viwili kwenye banda langu
Kuongeza idadi ya kuku wa kienyeji na vimbuzi kwenye 'ranchi' yangu Mapinga kule
Kumfundisha Matesha wangu hesabu mpaka zimkae kama masomo mengine yalivyomkaa
Kutoka na mai waifu wangu kutembelea Mbuga za wanyama (watoto watanisamehe)
Kupunguza kunywa bia kwa wingi
Kuongeza mazoezi mpaka kifua kiwe kama cha Vandame
Kuongeza juhudi kazini ili nipandishwe cheo
Kurudi tena darasani kuongeza visetifiketi
Kumfundisha mai waifu driving ili awe draiva wangu.
Kuachana na mpango wa kando na kuweka kambi kwa mai waifui
Kuanza kwenda kanisani, siyo kusubiria msiba ndo nikanyage kanisani kwenye ibada za mazishi

Damn mbona malengo mengi namna hii....Please God help me!

Shem.... Hongera kwa yooote hayo na Mwenyezi Mungu afanikishe kwa Rehema zake... Ila hapo naomba umshawishi na Sweetie... Labda itasaidia atabadilisha na ile avatar maana naona yamuongezea ulevi huyu bwana! lol
 
mwaka huu ulikua mbaya kwangu na kheri uishe kabuisa! Nimeharibiwa maisha na utu wangu face book na sina hamu mana nimempoteza mpenzi wangu hali bado nampenda saana. Mipango yangu 2012 ni kua makini na marafiki wachache. Nimeachana na rafiki zangu woote kwani hakuna aliekuwepo kwa ajili yangu.
pole sana mpoleee jipange upya kama msichana unatakiwa uwe makini sana na mwili wako la sivyo utakuta umemegwa na kila mtu kiukweli nipo fb ila nilivoona ule mtandao dah yaani ukiamua kutembea na wanaume ata mia unaweza hawajali wale wanaume wa kule
ila kuwa makini mdogo wangu sema hapana
kuhusu mapenzi kila tumeachwa wengi na kuumia sana ila jua ukitulia utakuja kupata mzuri mara 1000 zaidi ya huyo mmmmh
 
QUOTE=Smile;2974612]pole sana mpoleee jipange upya kama msichana unatakiwa uwe makini sana na mwili wako la sivyo utakuta umemegwa na kila mtu kiukweli nipo fb ila nilivoona ule mtandao dah yaani ukiamua kutembea na wanaume ata mia unaweza hawajali wale wanaume wa kule
ila kuwa makini mdogo wangu sema hapana
kuhusu mapenzi kila tumeachwa wengi na kuumia sana ila jua ukitulia utakuja kupata mzuri mara 1000 zaidi ya huyo mmmmh[/QUOTE]

Kuwa na account fb ni kujipa stress za bure. Ule mtandao ni balaa kabisa. Nilijiondoa mapema sana baada ya kuona unataka hata kunivunjia ndoa yangu.
Kule sijui kama kuna mengine zaidi ya kuwaza masuala ya mapenzi tuu. Pole sana dear
 
Honestly I thanks the almighty God for this year, as he managed me through marriage, Master's degree, exposure and above all I am close to my Jesus .
Howver, Idid not manage to finish up my house project.

Next year 2012.
Complete my project ( house)
Sitting for CSP Exams
Be close to my family

I am impressed by your achievements.... All in a year? THEN kwa kweli 2011 ni moja ya miaka huwezi kuja sahau, hayo ulopata ni ya Msingi sana. HONGERA.

Nakutakia heri katika hio mipango ya Mwakani, Mwenyezi Mungu akujalie na kukusimamia. BEST OF LUCK Dear na Mwenyezi Mungu abariki familia yako iwe yenye Upendo.
 
[[/QUOTE]

Kuwa na account fb ni kujipa stress za bure. Ule mtandao ni balaa kabisa. Nilijiondoa mapema sana baada ya kuona unataka hata kunivunjia ndoa yangu.
Kule sijui kama kuna mengine zaidi ya kuwaza masuala ya mapenzi tuu. Pole sana dear[/QUOTE]SI KWELI BWANA MIMI NIPO KWENYE GROUP YA WATU WA SHULE NA WA BUSH KWETU NAPATA UPDATES DAILY TOKA BUSH HUKO
ILA KULE KUNA MITONGOZO SANA YAANI KAMA MSICHANA NI CHANGUDOA KULE NI SOKO ZURI SANA MAANA MIWANAUME INAOMBA TUNDI OVYO KULE SHIT
 
AMEEEN.... to the Colored....Dearest naona ulipata pigo saana. Na sasa hivi sijui kwanini ajali zimeongezeka hivo, na vifo hivi vya ajali acha kabisa. Narudia.... Pole saana na Mungu akutie Amani na Amani, Usije tu kufuru maana yoote ni mipango yake Mola.

Ubarikiwe pia Wifi yangu mpenzi....
Thanks a lot my lovely wifi..... Najivunia sana kupata wifi kama wewe.... Mwenyezi mungu akulinde daima....
 
Asante Big Sisy,japo nimechelewa kuiona hii but acha niendeleze hapa hapa,
Mie namshukuru sana tena sana mungu wangu kwan amenifanikisha hata yale nilikuwa sijayapanga
MAFANIKIO
*Kwanza namshukuru mungu kwanipa afya njema kwa mwaka mzima mm na Wazazi na ndugu zangu,
*Baada ya kumaliza chuo mwaka jana mapema january mwaka huu mungu akanipatia kibarua,
*Nimeweza kujiunga JF na kupata marafiki wengi akiwamo ww,na wengine kibao kiasi kwamba nimeshakuwa mlevi wa JF,
*Nimefanikiwa kuhama chumba kimoja cha kulala nilichokuwa naishi wakati nasoma chuo na sasa ni viwili,
*Ni mwaka ambao nimekuwa karibu sana na mungu wangu na ndio maana nimeona akiniinua ktk kila jambo,
*Ni mwaka unaoisha na kuniacha mwenye furaha na amani tele moyon
MIPANGO 2012
*Kuwa karibu na mungu zaidi,
*Kutafuta kazi nzuri na yenye kipato zaidi na niliyonayo sasa ili kukamilisha mipango yangu mingine,
*kujiendeleza kielimu kabla ya kuwa na majukumu ya kifamilia(kuolewa,kuzaa na kutunza familia)
*Kumchukua jukumu la kumsomesha mdogo wetu wa mwisho 4m five na six kuwasaidia wazazi wangu,
*Na mengine mengi ambayo nahisi ni magumu ila ikawa ni mpango wa mungu kunifanikisha.

My kid sis, furaha kwangu kua umefika na kupita hapa.... Huu uzi hakuna na kusema umechelewa as you can see for i know ni wengi bado hawajapita na twahitaji kujua kama fellow members wao ilikaa vipi – au vipi Cantar?

Nimefurahi kusoma mafanikio yako... Yoote ni ya Msingi na yaonesha ni binti ambae wajielewa/wajitambua na waelewa what you want in Life. Hio Mipango yako Mwenyezi Mungu azidi bariki (for naona yupo pamoja na wewe for vyote vyaonekana vyaenda ipasavo).

Hio mipango yako ya kua na Mungu your Big Shem kaniambia (eti kagundua baada ya wewe kumpa PW...lol). Endelea hivo hivo, ila tu naomba usiwe katika lile kundi lililo kubuhu mpaka wasahau kuishi kukoje..... (sina nia mbaya na hio ni on a serious note)

Alafu sijamuona Feis book... Yukwap?
 
Back
Top Bottom