Wakuu naomba ufafanuzi nilimsikia mkuu wa takukuru akidai kuwachukulia hatua watakao gawa kanga, fulana na aina yoyote ya msaada wakati huu kuelekea uchaguzi maana ni moja ya rushwa na sheria iliyosainiwa kwa mbwembwe inakataza haya, sasa hizi fulana hazipo kwenye mkondo huo?
Pole mkuu. Inabidi ujue TAKUKURU ni nani na hizo fulana ni za nani.
Kwa kifupi TAKUKURU ipo chini ya ofisi ya huyo anayetoa fulana. Nani wa kumkamata nani?