ziwa

Ziwa is an archaeological site in Nyanga District, Zimbabwe, containing the remains of a vast late Iron Age agricultural settlement dated to the 15th century. Ziwa was declared a National Monument in 1946 and is currently under consideration for World Heritage listing. The site contains a large variety of stonework structures including stone terraces running along contours of hills and steep landscapes. Archaeological investigations have also uncovered important aspects of pottery and rock art.
Before the declaration of the site as a National Monument, Ziwa had been part of the commercial farms area and was thus under private ownership. A great deal of damage or degradation of antiquities may have been wrought during this period as the farmer used the property as a cattle ranch. Currently a site museum (with tourist facilities such as camping, guided tours, walking trails, bird viewing, etc.) has been established to represent the Ziwa heritage and other archaeological sites in the Nyanga district.
Despite the abandonment of the site by its inhabitants in the 18th Century, Ziwa continued to be of significance to the later communities that settled in its neighbourhood.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini ndizi mshare hazipatikani Kanda ya Ziwa?

    Mwanza, Shinyanga, Kahama, Geita, Kagera, na Kigoma! Kote huko sijawahi kukutana na ndizi mshare. Ndizi zinazopikwa maeneo tajwa ni ndizi ambazo kwa Arusha na Kilimanjaro, ukikuta mtu kazipika, ujue ni amekosa kabisa cha kupika. Si matumizi yake. Nilikula ndizi kwa mara ya kwanza jijini Mwanza...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni Mwanasiasa gani anamiliki magari ya kupeleka wafanyakazi migodini Kanda ya Ziwa?

    Kuna kampuni za kupeleka wafanyakazi kazini kwenye migodi Geita; kila zikipita mjini linatajwa jina la mwanasiasa kijana hapa NCHINI. Magari hayo ya rangi ya blue yapo zaidi ya mia mbili na kiongozi husika anayetajwa hana historia ya biashara; je kama ni ya kwake amekopeshwa au amenunua cash...
  3. JamiiForums Tanzania Roho ya CCM ipo kanda ya ziwa kichwa kipo Pwani

    Huo ndo mtazamo wangu toka enzi za mwalimu kanda ya ziwa imeshikiria uhai wa CCM.. Kanda ya ziwa ni kuanzia Tabora. Mara, Kagera. Mwanza. Geita, Simiyu. Shinyanga na sasa Mpanda... Sababu. 1. Wapiga kura wake ni wengi sana na wana msimamo. 2.wapiga kura kutoka ukanda huu wametapakaa Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Kambi ya jeshi la Urusi kwenye ziwa Black sea yalipuliwa na wanajeshi wa Ukraine

    Hamna kinachosazwa, vinalipuliwa vyote... The Armed Forces of Ukraine have confirmed that they successfully attacked the command post of the Russian Black Sea Fleet near Sevastopol on the morning of 20 September. Source: Directorate of Strategic Communications of the Armed Forces of Ukraine...
  5. JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa: Kwanini karibia Viongozi wote huibukia huko?

    Hivi hii hutokea tu kwamba kila matukio yakitokea basi Watawala wengi hupotea na kuibikia huko Kanda ya Ziwa Mikoa ya Kagera au Mara na Mwanza, huwa matukio yanawakutia huko kwamba imetokea tu wakawa huko mipakani au kuna mengineyo? Hata Tundu Lisu hatujui yuko wapi sasa hivi binafsi...
  6. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mashujaa wa ziwa Tanganyika, Mashujaa FC

    Hii ndio timu pekee inayoshiriki ligivkuu kutoka mkoani Kigoma. Mashujaa FC ni timu inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, na msimu huu 2023/2024 wamepanda daraja baada ya kuifunga timu ya soka ya Mbeya City Fc kwenye mechi zote mbili. Mpaka sasa Mashujaa FC IMECHEZA mechi tatu...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Round moja tu ya operation +255 Kanda ya Ziwa imeleta hofu nchini. Je tunarudi tulikotoka?

    Kuna kila dadili za kurudi tena kwa siasa za kamata kamata tulizoziona miaka mitano iliyopita. Sakata la bandari limewapa Chadema wasaa mzuri wa kukutana na wananchi nchi nzima kupitia operation 255 ambayo imeonesha mafanikio makubwa hata kanda ya ziwa ambapo watu walifikiri chama hicho kikuu...
  8. JamiiForums Tanzania Maji ya Bomba Kutoka Ziwa Victoria Yaendelea Kusambazwa Musoma Vijijini

    MAJI YA BOMBA KUTOKA ZIWA VICTORIA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21, Vijiji 68 na Vitongoji 374. Vijiji vyetu vyote vina miradi ya maji ambayo iko kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji. Miradi ya maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria inatekelezwa kwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

    Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti. Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
  10. JamiiForums Tanzania Serikali itoe pole tena kwa Wanafunzi waliozama Ziwa Victoria

    Naandika Kwa uchungu sana, miezi michache iliyopita Kuna wanafunzi walizama hapa Kigoma Kwa mtumbwi. Leo Tena tukio kama Hilo limetokea, kama kawaida Viongozi wa CCM na Serikali watalitumia Tukio hili kupata political mileage. Dah --- Shughuli ya kutafuta watu 13 waliozama ndani ya Ziwa...
  11. JamiiForums Tanzania 13 wahofiwa kupoteza maisha mitumbwi miwili ikizama Ziwa Victoria

    Watu 13 wanahofiwa kufariki dunia huku wengine 14 wakiokolewa baada ya mitumbwi miwili kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati wakitoka kusali ibada ya Jumapili Kijiji cha Ichigondo Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Akizungumza kwa simu na Mwananchi leo Jumatatu Julai 31, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Bunda...
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Niliyoyaona leo Ziwa Victoria muda si mrefu yatajirudia ya MV Bukoba au MV Spice Islanders

    Habarini wanajukwaa, Leo nilikuwa navuka na kivuko cha MV Kamanga upande wa Kamanga katika Ziwa Victoria ilikuwa mnamo majira ya saa nane alasiri. Uwezo wa kivuko ni kubeba abiria 150 ila Kwa wanajamvi mliovuka leo idadi ya abiria ni kati ya 700-800! Huku ikiwa imejaza mizigo ya kutosha mpaka...
  13. JamiiForums Tanzania Bukoba: Ndege ndogo yapitiliza na kuingia ziwa Victoria

    Kwa mujibu wa vyanzo vya mtaani kuna uwepo wa ndege ndogo imepitiliza na kuingia ziwa Victoria --- Ndege yenye namba za usajili 9127 mali ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) imepata ajali na kuanguka maeneo ya uwanja wa ndege manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera. Akizungumzia juu ya kutokea kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ndubu ni samaki wa ajabu anayepatikana Ziwa Tanganyika

    Samaki huyo mwenye mpomo au Komwe jina lake anaitwa NDUBU, ni samaki mwenye kuvutia kwa macho anapendeza mno akiwa kwenye maji. Samaki huyu ni moja ya kivutio cha watalii katika ziwa letu Tanganyika. Hutumika kama samaki wa kuliwa ni mtamu sana na mwenye ladha nzuri na pia hutumika kama samaki...
  15. JamiiForums Tanzania Maji ya Ziwa Victoria kuwafikia Wananchi wa Jimbo la Kaliua

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amesema kwamba neema ya Maji kutoka Ziwa Victoria sasa imewafikia wananchi wa Jimbo la Kaliua kwani Kampuni ya Megha Construction and Infrastructure Limited imeshafika Kaliua kuanza utekelezaji wa mradi Mhe. Aloyce Kwezi amesema Kampuni ya...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

    Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe...
  17. K

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kilimo cha umwagiliaji kwa Kanda ya Ziwa kitachochea upatikanaji wa chakula cha kutosha

    Kutokana na kutokuwa na mvua za uhakika na za wakati kwa baadhi ya maeneo hapa inchi imepelekea maisha ya wananchi wengi hasa vijijini kuwa magumu kwa sababu tegemeo lao kubwa ni kilimo cha mazao ya chakula au biashara, ambacho pia ndio tegemeo lao la kukomboa familia zao kiuchumi, elimu, Afya...
  18. JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa wanastahili pongezi kwa uendeshaji wa baiskeli

    Unaweza ukashindana na watu wa Kanda ya Ziwa kwa mambo fulani fulani, lakini usithubutu kwenye uendeshaji wa baiskeli kama wewe si mmoja wao. Utaumbuka! Nazungumzia baiskeli za kawaida au za kazi, siyo zile za "starehe". Sina uthibitisho wa kitakwimu, lakini kwa makisio yangu, Kanda ya Ziwa...
  19. JamiiForums Tanzania Masanja Malebo: Wanaume wa Kanda ya Ziwa wana nguvu za kiume

    "Hili tatizo (nguvu za kiume) tunalitambua na tatizo hili niseme tu kwa kifupi kwamba chanzo chake kikubwa ni lishe duni hasa kwa jamii ya sasa hivi. Katika utafiti tulipokuwa tukilinganisha watu wa mjini na vijijini, kule vijijini watu hawahangaiki kutafuta dawa za nguvu za kiume na ukiangalia...
  20. JamiiForums Tanzania Meli yazama ziwa Tanganyika na kuua wawili

    Wawili wafariki kwa ajali ya Meli ndani ya ziwa Tanganyika. Watu wawili akiwemo kapteni wa MV. Tanganyika wamefariki kwenye ajali ambayo imetokea usiku wa tarehe 16 juni 2023 Meli hiyo ambayo ilikua ikitokea Kigoma nchini Tanzania kuelekea Kalemi nchini RDC ikiwa na mzigo wa mafuta ya petroli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…