Roho ya CCM ipo kanda ya ziwa kichwa kipo Pwani

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,299
Huo ndo mtazamo wangu toka enzi za mwalimu kanda ya ziwa imeshikiria uhai wa CCM..

Kanda ya ziwa ni kuanzia Tabora. Mara, Kagera. Mwanza. Geita, Simiyu. Shinyanga na sasa Mpanda...

Sababu.
1. Wapiga kura wake ni wengi sana na wana msimamo.

2.wapiga kura kutoka ukanda huu
wametapakaa Tanzania nzima.

3. Viongozi kutoka ukanda huu
wanaaminika kwa watanzania

4. Viongozi kutoka ukanda huu
wana ushawahi mkubwa sana..

Siku kanda ya ziwa wamesema basi, ndo mwisho wa CCM ndiyo maana wanabembelezwa japo wameshachoka.

Kichwa amabacho kitegemewa kuongoza Tanzania ni mikoa yote kanda ya pwani na ndivyo wanavyojinasibu ndo maana hata dodoma makao makuu hawakutaka kwenda .

Ukweli ni kwamba hadi sasa wamesha prove kwamba vichwa hivi ni vibovu hakuna lolote vimejaa mawazo ya wizi tu....

Je kichwa bila roho kitaishi?
 
Wamehongwa cheo ambacho hakipo kikatiba lengo kupata kura zao.
Ili wateseke Tena miaka mitano tena
 
Huo ndo mtazamo wangu toka enzi za mwalimu kanda ya ziwa imeshikiria uhai wa CCM..

Kanda ya ziwa ni kuanzia Tabora. Mara, Kagera. Mwanza. Geita, Simiyu. Shinyanga na sasa Mpanda...

Sababu.
1. Wapiga kura wake ni wengi sana na wana msimamo.

2.wapiga kura kutoka ukanda huu
wametapakaa Tanzania nzima.

3. Viongozi kutoka ukanda huu
wanaaminika kwa watanzania

4. Viongozi kutoka ukanda huu
wana ushawahi mkubwa sana..

Siku kanda ya ziwa wamesema basi, ndo mwisho wa CCM ndiyo maana wanabembelezwa japo wameshachoka.

Kichwa amabacho kitegemewa kuongoza Tanzania ni mikoa yote kanda ya pwani na ndivyo wanavyojinasibu ndo maana hata dodoma makao makuu hawakutaka kwenda .

Ukweli ni kwamba hadi sasa wamesha prove kwamba vichwa hivi ni vibovu hakuna lolote vimejaa mawazo ya wizi tu....

Je kichwa bila roho kitaishi?
Wewe ni kenge mkubwa,Kwa hiyo tafsiri ya Kanda ya Ziwa kwako ni kabila la Wasukuma si ndio?
 
Huo ndo mtazamo wangu toka enzi za mwalimu kanda ya ziwa imeshikiria uhai wa CCM..

Kanda ya ziwa ni kuanzia Tabora. Mara, Kagera. Mwanza. Geita, Simiyu. Shinyanga na sasa Mpanda...

Sababu.
1. Wapiga kura wake ni wengi sana na wana msimamo.

2.wapiga kura kutoka ukanda huu
wametapakaa Tanzania nzima.

3. Viongozi kutoka ukanda huu
wanaaminika kwa watanzania

4. Viongozi kutoka ukanda huu
wana ushawahi mkubwa sana..

Siku kanda ya ziwa wamesema basi, ndo mwisho wa CCM ndiyo maana wanabembelezwa japo wameshachoka.

Kichwa amabacho kitegemewa kuongoza Tanzania ni mikoa yote kanda ya pwani na ndivyo wanavyojinasibu ndo maana hata dodoma makao makuu hawakutaka kwenda .

Ukweli ni kwamba hadi sasa wamesha prove kwamba vichwa hivi ni vibovu hakuna lolote vimejaa mawazo ya wizi tu....

Je kichwa bila roho kitaishi?
Wewe naona umeamua kutafuta matatizo mwanzo wa siku,aliyekuambia wazee wa bahari hawajui ni Nani?
 
Back
Top Bottom