Mi bishoo tu
Senior Member
- Jun 3, 2023
- 122
- 291
Habarini wanajukwaa,
Leo nilikuwa navuka na kivuko cha MV Kamanga upande wa Kamanga katika Ziwa Victoria ilikuwa mnamo majira ya saa nane alasiri.
Uwezo wa kivuko ni kubeba abiria 150 ila Kwa wanajamvi mliovuka leo idadi ya abiria ni kati ya 700-800! Huku ikiwa imejaza mizigo ya kutosha mpaka kuzua taharuki lwa abiria!
Mamlaka husika kuweni macho janga jingine linaweza tokea kwa uzembe wa wachache likatengeneza tume nyingine ya upigaji.
Mjumbe hauawi.
=================
Pia soma: Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Kivuko cha Kamanga