zitto

  1. Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

    Nimemsikiliza Zitto na sababu yake/ zake kwanini suala la Membe kuhamia kwenye chama chake halitokuwa kama ilivyokuwa kwa CHADEMA na Lowassa na Sumaye na wengineo. Sababu zake kuu ni kwamba hao waliohamia CHADEMA kipindi kile hawakujiona au hawakuonekana kuwa ni sehemu ya ‘movement’. Pia, eti...
  2. Zitto anajua nini anafanya

    ZITTO ANAJUA NINI ANAFANYA. Mbowe alipompeleka Lowasa CHADEMA (inasadikika kidikteta) alisema wamebadilisha gia angani. Mbowe alikuwa anaamini Lowasa atashinda uchaguzi, alitegemea kuwa ile mitandao ya Lowasa italinda kura na CHADEMA kitashika madaraka. Baada ya matokeo ya uchaguzi (inasadikika...
  3. Bernard Membe rasmi ACT Wazalendo, kutambulishwa kesho

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe katika ukurasa wake wa Twitter amepakia picha akiwa anatabasamu huku akiwa ameshika Katiba ya chama cha ACT Wazalendo . Je, inaashiria kwamba amehamia katika chama hiki? Ikumbukwe Membe amefukuzwa kwenye chama cha...
  4. B

    GE2020 Zitto 2015 ulikataa UKAWA, why leo utake Coalition?

    Zitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania. Mwaka 2015 wakati Watanzania tukitaka mabadiliko ya kweli, na kuunda Coalition ya UKAWA Zitto alikuwa kinyume chetu...
  5. Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

    Muda wowote kutokea sasa Membe atatangaza kujiunga na ACT Wazalendo. Huu utakuwa ni ushindi kwa Zitto Kabwe maana amekuwa akimuomba sana Membe kujiunga ACT.
  6. Majibu ya David Kafulila kwa Zitto Zuberi Kabwe kuhusu uchumi wa kati

    Julai1, 2020 ni tarehe itakayobaki kwenye kumbukumbu kama siku ya kwanza ya kuanza kwa utekelezaji wa Bajeti ya tano na ya mwisho ya kumalizia miaka 5 ya kwanza ya awamu ya tano. Siku ambayo Benki ya dunia ilitambua Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa kati, ikiwa ni miaka5 kabla ya kufikia mwaka...
  7. Zitto Kabwe na Tundu Lissu katika utimilifu wa dhana ya "House nigger"

    ZITTO KABWE NA TUNDU LISSU KATIKA UTIMILIFU WA DHANA YA "HOUSE NIGGER". Leo 13:15pm 04/07/2020 Tunaye Jemedari makini,Rais John Magufuli ambae ameifanya Tanzania kuhisi kama mahala tofauti na ilipokuwa muda mfupi uliyopita,Sasa Tanzania ni Taifa kubwa lenye nguvu kiuchumi,Sasa Tanzania ni...
  8. Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati?

    Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati? Tangu jana nimeona shamrashamra kubwa kuhusu kinachoitwa mafanikio ya Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa Kati. Kuingia Uchumi wa Kati ni hatua nzuri lakini inayohitaji ufafanuzi wa kiuongozi. Hatua hii ikifanyiwa propaganda itaonekana kuwa Serikali ya...
  9. Zitto Kabwe aripoti polisi Lindi, atakiwa kurejea tarehe 20 Julai

    Leo tarehe 01 Julai 2020, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe na viongozi 7 wa Chama wameripoti Kituo Kikuu cha Polisi Lindi kama walivyohitajika. Kiongozi wa Chama na viongozi hao pamoja na Mbunge wa Kilwa Kusini aliyemaliza muda wake Ndugu Suleiman Bungara walikamatwa na...
  10. Zitto: Membe karibu upinzani

    Na Mwandishi Wetu, Kilwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema sasa ni wakati mwafaka kwa Benard Membe kujiunga na upinzani rasmi hapa nchini. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kilwa, Zitto alisema mwanasiasa huyo aliyewahi kuwa mbunge na waziri wa wizara...
  11. RC Makonda kumpiga marufuku Zitto Kabwe kuita waandishi ili kuzungumzia suala lolote la Jiji la Dar

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam
  12. Wazee Kigoma: Askari aliyemkamata Zitto kama Jambazi aombe radhi lasivyo kukiona

    Wanasema Zitto sio jambazi na mwizi kushikiliwa vile kama alivyofanyiwa na askari aliyemkamata hawaamini kwanini alimuharasi kiasi kile. Wanasema Zitto ajavunja sheria yeyote na mikutano ya ndani haijakatazwa mpaka mtu akamatwe kama jambazi wazee wanasema wanampa muda yule askari aombe radhi.
  13. R

    Mbowe -CHADEMA na Zitto-ACT- mnakwenda kwenye uchaguzi kupata nini?

    Mmesema ngombe atachunjwa alvyolala CHADEMA. ACT mnasema mtakwenda hivyo hivyo. mnaona yanayoendelea . Tanzania Daima limefugiwa, watashindwaje kuwapiga mabomu wakamtangaza wanayempenda hata mkikusanyika kwa maelefu, mamilioni! Wafuasi wenu watahimili mabomu? Risasi? Kama wamediriki kulifuta...
  14. Q

    Lindi: Zitto Kabwe na Sulemani Bungara (Bwege) wakamatwa na Polisi

    Polisi wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi wamemkamata Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe Pamoja na baadhi ya viongozi wengine wakati wakiwa wanaendesha kikao cha ndani cha kukaribisha Madiwani wapya. --- Kwa mujibu wa Chama cha ACT Wazalendo kupitia mtandao wa Twitter...
  15. T

    Zitto ukifumua bajeti hii januari kumbuka na hili la wafanyakazi

    Wakati wa Kampeni zako weka wazi kuwa Chama chenu au kama mtaunda Coalition ya Upinzani madhubuti na mkashinda basi kwenye Bajeti mtakayoifumua mtakumbka kupandisha mishahara ya wafanyakazi iMwezi huo huo Januari ili kuwapunguzi machungu waliyonayo. Msimung'unye maneno wekeni wazi wazi kuwa...
  16. Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

    Sitaki kuamini kama ni kweli Tanzania @foreigntanzania imeipigia kura Nchi ya Djibouti dhidi ya Nchi mwanachama wa EAC Jumuiya Jamhuri ya Kenya. Kenya ni chaguo la AU @_AfricanUnion iweje Tanzania ikengeuke? Serikali inapaswa kutoa maelezo ya kina kuhusu hili. Ni tatizo kubwa
  17. J

    Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

    Mbunge wa kuteuliwa mstaafu alhaj Bulembo amesema hana mkwe anayeitwa Zitto na kwamba " wao" wanafanya starehe zao vichakani hivyo hawezi kuwa mkwe katika familia yake. Alhaj Bulembo alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds 360 aliyetaka kujua kama Halima Bulembo ni mke wa Zitto na...
  18. Zitto: Ninasubiri kwa hamu siku 70 za kampeni, kuna takwimu za uongo tumepewa

    Aliyekuwa mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe, amesema taarifa ya serikali ndio silaha ya kubomoa hoja zote zenye matege za serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Zitto ambaye ni kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo amesema watawakaanga kwa mafuta yao wenyewe. “Ninasubiri kwa hamu sana siku 70...
  19. J

    Bunge linavunjwa NCCR Mageuzi ikiwa na wabunge 5 na ACT Wazalendo wabunge 2 Zitto na Bwege, CHADEMA na CUF wapoteana.

    Bunge linavunjwa huku vyama vya CCM, NCCR na ACT wazalendo vikifaidika kwa kuvuna wanachama wapya miongoni mwa wabunge na CHADEMA na CUF vikipoteza. Hongereni Mbatia na Zitto na Spika Ndugai Poleni Mbowe na Magdalena Sakaya. Maendeleo hayana Vyama
  20. B

    Zitto Kabwe 'azitoboa' bajeti 5 za serikali ya CCM Mpya

    June 14 2020 Source : Wazalendo TV KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono, malengo na shabaha, ambazo hazijawahi kuonekana tangu Rais John Magufuli, kuingia madarakani.” Akizungumza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…