zitto

  1. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Zitto ahesabiwa, ampa tano Rais Samia

    Zitto ahesabiwa ampa tano Rais Samia. Zitto Kabwe kamaliza kuhesabiwa adai ana furaha kubwa Sana baada ya kupokea ujumbe wa simu kutoka kwa rais Samia ambapo naye aliuforward kwa M/ Kiti Mbowe incase Kama hakupata wake, pia amewataka wananchi na wanachama wa ACT kujitokeza kuhesabiwa.
  2. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe alikuwa na nguvu gani isiyo ya kawaida?

    Leo nimelikumbuka bunge la spika Sitta la mwaka 2005-2010. Lilikuwa ni bunge la aina yake. Matukio mengi sana yalitokea katika bunge lile mpaka likagharimu nafasi ya hayati Sita kama Spika wa Bunge. Ila leo, nimekumbuka zaidi matukio ya Zitto Kabwe. Tukio la kwanza ni kuhusu ajali ya hayati...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Heri ya Lyatonga Mrema ana uzalendo kuliko Mbowe na Zitto

    Wana njaa sana na wao pesa mbele. Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu. Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao. Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Mbowe ana wajomba zake Nyeri na Zitto baadhi ya baba zake wanakaa Bukavu

    Namsikiliza hapa Katibu wangu redioni anasema suala la Mama Samia kuwa na wajomba sehemu nyingine ya dunia sio kubwa Kama linavyotaka kuaminishwa. Ameenda mbali na kusema mababu zake Zitto wakati wanahamia Kigoma wakitokea Bukavu DRC baadhi ya ndugu zao walibaki huko na wanatembeleana mara...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Waziri afafanue kodi aliyoitangaza, kodi hailipwi na mtu

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kauli kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa raia wenye umri wa miaka 18 na zaidi ambaye atakuwa na TIN Namba uliopendekezwa katika Bajeti Kuu 2022/23 inatakiwa kufafanuliwa vizuri. “Inawezekana Wananchi hawajaelewa, Waziri wa Fedha hakulieleza...
  6. mr gentleman

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wakati wa kuomba msamaha kwa Zitto ili awasaidie, amewazidi sana maono

    Pamoja na madhaifu yake lakini kiukweli Zito Kabwe amedhiilisha ni kiongozi mwenye maono kuliko viongozi wote waliopo Chadema. Kila kinachotokea sasa Zitto alikiona muda mrefu nyuma na akawa anawakumbusha kuweka akiba ya maneno sababu yeye anamjua Mbowe kuliko nyinyi mnaomsoma mitandaoni. Sasa...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Halima Mdee na wenzake kukimbilia mahakamani wajikumbushe kesi ya Zitto iliyotupiliwa mbali na Mahakama Kuu

    Mwaka 2014, Zitto Kabwe aliitwa na Kamati Kuu ya Chadema akitakiwa kujibu tuhuma za usaliti dhidi ya chama lakini hakuitikia wito huo. Badala yake Zitto kupitia kwa wakili wake Arbert Msendo alifungua kesi Mahakamani akiomba zuio la muda asivuliwe uanachama wake ambapo mahakama ilikubali...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nakerwa kuitwa msaliti wa mageuzi

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hawezi kusaliti demokrasia na mageuzi ambayo yeye ameyapigania tangu akiwa na umri wa utoto. “Mimi ni miongoni mwa watu tuliopachikwa jina la usaliti, kama binadamu, siwezi kujisikia vizuri kuitwa msaliti wa mageuzi na demokrasia kwa sababu tu...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Msigwa karibu sana CCM wakati umewadia sasa. Zitto hamtawezana naye huko ACT Wazalendo

    Ni muda sasa chama chako hakina imani nawe. Naona hata Iringa tu hawawakukubali. Sababu hazinihusu. Ila karibu sana CCM huku nadhani utapata nafasi ya kuweza kufanya mambo yako vizuri.kwa uhuru. Chadema nadhani ni kama wamekuchoka pia kutokana na matamko yako. Umekuwa one man arm...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. "Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa hawamtaki Zitto na ACT-Wazalendo, anapoteza muda

    Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa. Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa. 👇
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je Zitto Kabwe ana Legacy Gani Hapa Tanzania?

    Ndugu wanabodi habari zenu!! Niende moja kwa moja kwenye mada.Ndugu Zitto Kabwe amekuwa akimshambulia mara kwa mara marehemu Rais wetu mpendwa ,kwa maneno makali.Na maneno haya yamekuwa hayana ushahidi wowote.Lakini serikali ya mama Samia imekaa kimya tu...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa aomba radhi kwa hoja yake “Ripoti ya CAG inapotoshwa’, Zitto Kabwe atoa neno

    Siku moja baada ya mwanasiasa Willbrod Peter Slaa kukosoa mchakato wa jamii kuichambua ripoti ya CAG kwa madai kuwa sheria hairuhusu kufanya hivyo mpaka Kamati ya Bunge iipitie, ameomba radhi kwa kueleza kuwa alikuwa anasimamia sheria ambayo haikufanyiwa kazi. Dkt. Slaa alinukuliwa akisema...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Zitto aachwe aendelee kung'ata jiwe tuone ataishia wapi!

    Hahaha hahaaa Zitto unang'ata jiwe kwa kutumia meno? Eneweyi! Watu husema, Mchwa nao ulijaribu kutafuna mwamba, naweye Zitto unajaribu kutafuna mwamba siyo? Jiwe halitafuniki mzee! Ni kina nyie nyie mliokuwa mkisema kila makusanyo ya mwezi (TRA) ilikuwa ni data za Kupikwa Mara hooh...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto Kabwe anapotosha taarifa ya CAG ili kumchafua Hayati Magufuli?

    Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini? Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua...
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata mama yake Zitto ni kilema?!

    Sikufahamu kwalo! "...huyu Zitto hapaswi kabisa kucheka kilema cha mtu ukizingatia hata mama yake ni kilema tena cha kuchovya!" Mdau. Ndugu zangu tuwiwe na kiasi huku tukikumbuka hujafa hujaumbika.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na chama chake wametufumbua macho,serikali ya CCM iliua na kuteka watu. Baadhi ya waliohusika wapo hai wafikishwe kortini

    Naona huko twita anapost bila hata kuficha kitu. Anadai kuwa Akina Ben, Azory na wengine wengi ni wahanga. Kwa hiyo kama ndio hivi wahusika watakuwepo mitaani huu ndio wakati wa kuwapeleka kortin.
  18. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania SURA MBILI ZA ZITTO KABWE, Je wewe unamwongelea katika upande gani?

  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

    Leo bungeni mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amemvaa vikali kiongozi mkuu wa ACT, Zitto Kabwe kwa kumsema Hayati Magufuli. Kibajaji amemuita Zitto muoga kupitiliza kwani wakati Magufuli yupo hai hakusema mpaka ameondoka. Pia Kibajaji amesema wote wanaomsema Magufuli ni wanafki na hata Samia...
  20. goroko77

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde amshambulia Zitto Kabwe dhidi ya kauli yake ya wanaompenda Hayati Magufuli wakazikwe naye Chato

    Hbr za muda huu Niko Hapa natazama Bunge la 12 mkutano wa saba , kikao Cha la kumi na moja , mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chini ya Waziri Jenister Muhaghama Alipewa nafasi bwana Lusinde kuchangia katika mjadala unaoendelea badala ya kujikita...
Back
Top Bottom